ivibration
JF-Expert Member
- Oct 10, 2013
- 363
- 73
Do you think it will be successful?
si wataletewa vile vilaptop vyenye ram 256 mb na os isiyojulikana
google olpc kuna program kama hio ilishafanywa
vilaptop vya olpc vilikua kama hv
![]()
Do you think it will be successful?
Hivi nadhan vilikuwa kwa program ya one laptop per child, you dont expect watoto wa primary wapewe mashine za i7, hizi zinatosha mno kwa kujifunzia basics na programing kwa primary level! One Laptop per class sijaielewa, ina maana darasa zima kutakuwa na laptop moja? hapo haina maana!!!...Lakini naona wenzetu wanathubutu, Tanzania nadahani hata one laptop per school itakuwa ndoto za alinacha!