Kenyan & Tanzanian Surburbs

Nairobi
Garden City Village
Apartments
garden+city.jpg

36210347935_41b3b0d7c0_b.jpg

36075917321_aab0fb7e29_b.jpg

36210347995_51d9cb627e_b.jpg

Villas

36075917371_61d3e7f8a7_b.jpg
 
Guys km ni kupost structures just do it to appréciate individual structures ila si kujaribu fanya nchi moja ni zaidi ya ingine. Nairobi ipo packed ktk eneo dogo na majengo kukusanywa hapo. Dar ni pana sana na majengo mazuri yapo mbali mbali sana. Kutoka ubungo hadi makumbusho, makumbusho masaki, masaki posta, posta kariakoo, kariakoo ilala. Acheni utani .
 
I am sure you've never travelled out of Kenya..
Dar CBD iquals to Nairobi + Msa+Eldoret Combined.

Nairobi Metro is big.

map-of-the-nairobi-metropolitan-region-un-habitat-2010-168.jpg

Map of the Nairobi Metropolitan Region as identified in research literature (UN-Habitat 2010: 168).

The green in the middle is the official boundary of the Nairobi county.
 
Teh teh, how big is it Bob?Acheni obsessions?Nairobi naweza tembea kwa miguu na kuimaliza.. Nairobi majengo yote yamekusanywa sehemu moja na kuifanya iwe appealing ktk macho. Nairobi ukiwa ktk ground level unaweza yaona majengo marefu yote mjini. Its easy to fool careless guys.
 
Hajui maana ya metro wachana naye apige nduru zake peke yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nairobi is Half the size of newyork state ....Nairobi metro inafika hadi Konza machakos some 70kms away unaeza maliza km sabino kwa miguu??? Stupid

Teh teh.Half the Size?I thought you will settle for a full the Size. Utakuwa ni jaluo wewe ndio wana sifa zako.Between 70Km kuna nini? Hapo umetoa Kibera na SKY SCRAPERS zake(Ha hah.)? 70km ni moshi na Arusha hiyo kenya ingebakia na kitu gani tena kwa miji mingine. Wakenya kuna vitu mpo wazuri ila kuna vingine ni veherehere sana(in fact ni illussioned).I like the fact kuna wakenya smart na kuna wakenya wanaoishi ktk bubbles. Nairobi mnayotaka tuiione ina malizika kwa mguu. Iliyobaki ni combination ya vitu vingi.
 
Hajui maana ya metro wachana naye apige nduru zake peke yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh. Now you have turned into Terminologies for a quick rescue. Hivi mmeacha kujidanganya M-Pesa ni Invention ya Kenya? In fact wakenya ni fans wa habari za vijiweni sana.Huwa zina wa inspire beyond the imaginations. Africa is buy far un developed, constructions zitakuwa dili kwa zaidi ya miaka 50 ijayo km ilivyo kwa asia.Hata mobile phones zili catch africa kwa vile haikuwa na simu za wire nyingi. Kila mahali panajengwa, hata nchi zenye vita vinajengwa, hata nchi isiyo na serikali itajengwa tuu. Bahati mbaya Nairobi km Dar es Salaam na miji mingine,kila siku wanaingia maelf ya washamba ambao wanatamani sana kuitwa watoto wa mjini. WEWE PIA NI MMOJAWAPO YA WASHAMBA ambao wanadhani kwa vile wao Nairobi ni kila kitu basi dunia nzima nayo inashangaa nairobi km yeye. Utakuwa unaamini baba yako anaweza mchapa kila mtu.
 
....
Nairobi

C4FLwh5UoAAf7Ew.jpg:large

14073216_295928197434308_1462557392_n.jpg
I like when your little mind gets lost in colorful things. These things are cheaper than you can imagine. Hapo kuna very cheap bridge limeshikiliwa na kifusi cha udogo. Haina tofauti na kale kadaraja ka train pale Ruvu au Pale Mwanga kwa wapare. Gharama ya hapo haikuti zile za kutengeneza fly over ya wapita kwa miguu pale ubungo au au pale kimara mwisho. CONCRETE ILIYOMWAGWA PALE SIO NI HIVYO VIDARAJA HAPO VYA KUTOSHA.Hiyo structure hapo ni daraja moja tuu lipo hapo, pegine ote barabara zimelala ktk udongo, na nyingi zimefikia hapo kwa kuongeza ongeza kihuni tuu barabara na sio kutengeneza kwa kufukua kabisa na kuanza upya.Wakenya hamjui tuu hata mabasi yenu mnayapaka rangi nyingi ila ndani ya hovyo sana, na seat zenu zinamaliza viuno na migongo ya wakenya kabisa. Hizo taa za usiku zinakupotpsha macho.Hata wauza chips wa kariakoo usiku majiko yao yanapendeza ukipita mchana hakuna kitu.

The only thing nawapa pongezi ni jinsi mmeweza weka madaraja na culverts cheap juu ya udongo na kupata something that looks like a series of intersections when looking from above. Its cheaper by the way, its like a chinese smart phone. Ningeshauri hata Tanzania wafanye hivyo kwa miji midogo ili kuokoa gharama na kuwahi.By the way ia ni flexible ni rahisi kuongeza kadaraja au culvert na kupata anaother lane.

Haha. km tunavyokula posho ya bei rahisi isiyo na ladha kabisa pale nairobi ili siku zisogee.Si wote wanaishi na wanaweza jidai kuwa wapo nairobi?
 
Mpaka sasa challenge mech ya surburbs between Kenya/Tanzania inaendelea. Kenya wanaongoza kwa bao 6 - 0
5.5% of this belong to non-indigenous msjority of poor Kenyan's in their city's live in mabati machafu like kule Kibera na Mathate to mention a few
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom