Kenyan oil discovery may not materialize

Kenyan oil discovery may not materialize

I am sorry, but can you please change "does" for "are" in your statement , "... 600M barrels does not worth the invesment". Thanks
Had it been that we as Tanzanians were more cautious on crucial matters affecting our nation as we are in correcting grammatical errors in a language that isn't even ours, I'm certain we would be far ahead in development. Just saying........
 
Let 600 barrels equals to simplest unit of oil....teh teh teh ujumbe umekuingia
Umeniingia mkuu, in which case "is" will have to replace "does". It is said, it's not worth it and not doesn't worth it. I hope it is crystal clear. Thnx
 
Unakuta hata Kenya hawajagundua kitu, ni fixed tu. ili wajifanye wanapitisha bomba huko ili waibe mafuta ya Uganda.
Yaani uko sahihi 100% Kenya sio wa kuwaamini hawana cha mafuta wala nini
 
Had it been that we as Tanzanians were more cautious on crucial matters affecting our nation as we are in correcting grammatical errors in a language that isn't even ours, I'm certain we would be far ahead in development. Just saying........
I totally agree with you, Sir; and I, personally, don't like the idea of wasting one's time on small matters like crossing t's and dotting i's. The question is , "why aren't we just sticking to our national language?" We used to have a say back then," if you can't do something properly, then don't do it at all"
 
Lets get back to the point ...with 600 barrels of oil...One could not think on investing on exporting oil...rather it is better to try and explore more barrels...!
 
Fact.

Ndo maana Kenya wanataka kuichukulia Uganda advantage kupitisha bomba Kenya.

600M barrels pekee hazitoshi kufanya wajenge bomba maana watashindwa kuuza mafuta yao nje kutokana na costs per barrel kuwa kubwa na kufanya mafuta yao yawe ya gharama sana.

Hizo 600M barrels watumie tu kwa matumizi yao ya ndani... lakini pia hawataweza maana itahitaji kujenga refinery ambayo pia ni gharama sana.

Kwa ufupi kwa hizo 600M barrels za mafuta haziwezi kuchimbwa kibiashara labda waendelee kugundua mafuta mengine au hilo bomba la UG lipite Kenya.
Ndugu Michael mambo ya mafuta yana jeuri hata kama ni kidogo. Mansour Himid aliyekuwa waziri wa nishati Zanzibar serikali ya Karume alishawahi kusema " kama mafuta ya Zanzibar yatakuwa kidogo na hayafai kuchimbwa kwa biashara basi wazanzibar watachimba na kugawana kwenye vikombe na watajipaka mwilini." Kali ya mafuta hiyo
 
Wanaita miraaaaa
Hawa jamaa walikwamisha kuuza meno ya Tembo kutoka TZ...wakakwamisha ujenzi wa barabara na sasa wanataka kukwamisha ujenzi wa pipeline ...wanasahau kuwa hiki ni kipindi cha JPJM
 
Ndugu Michael mambo ya mafuta yana jeuri hata kama ni kidogo. Mansour Himid aliyekuwa waziri wa nishati Zanzibar serikali ya Karume alishawahi kusema " kama mafuta ya Zanzibar yatakuwa kidogo na hayafai kuchimbwa kwa biashara basi wazanzibar watachimba na kugawana kwenye vikombe na watajipaka mwilini." Kali ya mafuta hiyo
Sasa hilo ni somo kwenu...kuwa hizo 600 M barrels chimbeni kwa mafuta ya kujipaka na muache utapeli wa kutaka kuwaibia waganda
 
Kusafirisha mafuta kwa pipa moja ni zaidi ya dola kumi, sasa hawa wakenya wamechungulia wameona mzigo ulioko Uganda ukipita kwao watakuwa vizuri sana.

Ushauri: Wakenya wachimbe hayo mafuta kiduchu halafu wajipake tu kama petroleum jelly, ni kidogo mno kuyajengea bomba kwa dola bilioni tano na bado refinery ya dola bilioni mbili
 
Hawa washenzi tuwakomalie hadi wajiondoe tu maana hawana la maana kwetu
 
Asante Mwerevu wewe kwa kuipandisha hadhi ya F kwa kutukana. Asante mkuu.
Si unaona watu wote mabarazuli? Unafikiri hatuwezi kutoa majibu ya kibarazuli na sisi wengine? You thoroughly deserved it!
 
Kenya huwa wanataka kila kitu wafanye wao tuu..sasa safari hii watakiona
 
Back
Top Bottom