Kenyan oil discovery may not materialize

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,951
29,532
Kenya has so far discovered 600 million barrels of crude oil in South Lokichar while Uganda has found 6.5 billion barrels of oil. A joint pipeline was to be developed from Hoima in western Uganda through Lokichar to Kenya’s Coast to enable the two countries commence in the export of oil.This initiative would have fed on the vast resource from the famous Jonglei state in South Sudan, industry analysts place it at double the combined off take from Kenya and Uganda hence increasing its viability.“The Lokichar-Lamu pipeline would still be viable with South Sudan on board or if more exploitable reservoirs were discovered in Northern Kenya,” said Patrick Obath, the managing consultant of Eduardo Associates, a sector analyst.The competitor projects have complained of fears of over-investment in this industry of oil transport infrastructure given the limited nature of the discovery, despite hopes that continuing explorations will give in more.Tanzania’s President John Magufuli and Uganda’s Yoweri Museveni’s made the announcement to build the southern route pipeline from Hoima in the Albertine basin through northern Tanzania to Tanga port of the agreement during the East African Community Heads of States Summit held in Arusha“We did not receive any communiqué from either Tanzania or Uganda. Kenya and Uganda have signed a memorandum of understanding (MoU) to construct the Northern Corridor route pipeline after doing away with the central crude oil pipeline from Hoima through Kampala to Mombasa port,” said senior government officials from Kenya’s side.- MyNews24
 
Fact.

Ndo maana Kenya wanataka kuichukulia Uganda advantage kupitisha bomba Kenya.

600M barrels pekee hazitoshi kufanya wajenge bomba maana watashindwa kuuza mafuta yao nje kutokana na costs per barrel kuwa kubwa na kufanya mafuta yao yawe ya gharama sana.

Hizo 600M barrels watumie tu kwa matumizi yao ya ndani... lakini pia hawataweza maana itahitaji kujenga refinery ambayo pia ni gharama sana.

Kwa ufupi kwa hizo 600M barrels za mafuta haziwezi kuchimbwa kibiashara labda waendelee kugundua mafuta mengine au hilo bomba la UG lipite Kenya.
 
I am sorry, but can you please change "does" for "are" in your statement , "... 600M barrels does not worth the invesment". Thanks
 
Hehehe
Watachimba na kuyateka kama kisima cha maji
Wagawane kwenye vigaloni
 
Hadi umerekebisha inamaana kuwa umeelewa, Asante
Ndio umesema nini? Kuna watu wangapi humu wanatumia JF kama ni njia ya kujifunza? Na kama maandiko yatakuwa na makosa, unategemea na wao watajifunza nini kutoka humu. Usiwe mjinga, kiasi hicho, kosa la kilugha liko wazi wala halihitaji tochi. Mind you, sijamlaumu kwa kukosea, ila nimemuomba airekebishe isomeke correctly. Wapumbavu kama wewe ndio wanaofanya JF ishuke hadhi yake.
 
I am sorry, but can you please change "does" for "are" in your statement , "... 600M barrels does not worth the invesment". Thanks
Let 600 barrels equals to simplest unit of oil....teh teh teh ujumbe umekuingia
 
Yaani Wakenya mnataka kuiba mafuta ya Waganda hivi hivi?

Wizi wenu umefika mwisho, sasa sijui mtaiba nini tena.
Komaeni na mirungi tu sasa
 
Kwa hiyo Kenya wanataka kujenga kwa pamoja kwa kuwa wanajua mafuta yao yataisha mapema alafu Uganda watabaki wakisafirisha mafuta all the way peke yao!na gharama itakuwa iko pale pale tena watawatoza kwa kusafirishia mafuta katika bomba ambalo hawakulijenga wao.
 
aisee kweli mkuuu..
 
Back
Top Bottom