Kenyan cement makers eye massive DR Congo market

Hiyo sio point ya yangu.... wameweka taarifa za uongo.
Kwani huwajui wakunya?, Wao lazima wajikweze na kuwashusha wengine, jambo la kushangaza ni kwamba, Kenya bado inaagiza Cement ya Dangotte toka Ethiopia kujaza pengo la viwanda vyao vya ndani, kwamba Tanzania bado ndiyo kinara wa Uzalishaji wa Cement hapa EA.
 
Pitia hizi taarifa hapa kisha ujumuishe tonnage ya kila kampuni, utaona tunapitiliza hizo nane Top 5 Cement Firms in Kenya
Pelekeni tu huko DRC, hapa bongo ni moto mwingine, tuna cement yenye kiwango kinachokidhi vigezo.

Nilikuwa Arusha kipindi fulani nyuma nikakuta cement yenu(Bamburi) kama sjakosea, ilishindwa kupenya kwenye ushindani wa Simba, Twiga na nyinginezo ikabidi isalimu amri na kufunga virago.
 
Kwani huwajui wakunya?, Wao lazima wajikweze na kuwashusha wengine, jambo la kushangaza ni kwamba, Kenya bado inaagiza Cement ya Dangotte toka Ethiopia kujaza pengo la viwanda vyao vya ndani, kwamba Tanzania bado ndiyo kinara wa Uzalishaji wa Cement hapa EA.
You always have big dreams with nothing to show.😂😂😂
 
Pelekeni tu huko DRC, hapa bongo ni moto mwingine, tuna cement yenye kiwango kinachokidhi vigezo.

Nilikuwa Arusha kipindi fulani nyuma nikakuta cement yenu(Bamburi) kama sjakosea, ilishindwa kupenya kwenye ushindani wa Simba, Twiga na nyinginezo ikabidi isalimu amri na kufunga virago.
Arusha wapi na lini? Maarifu sasa hivi wanaifata hiyo hiyo Bamburi Kenya, tena kinyemela kupitia vichochoro boda. Bamburi wanainunua @12,500 TZshs per 50kg, wakati bei za cement za bongo Arachuga mfuko mmoja zaidi ya 23,000 Tzshs. Jamaa zangu, wa 'fursa', kule Manga wamepiga hela ndefu sana tangia 2020.
 
Tanzania tunatengeneza 6.9tonnes per year, mahitaji yetu ni 5.6 tonnes, ziada tunawauzia DRC, Rwanda, Burundi, Zambia na nchi zingine, ninyi mnazalisha kiasi gani?
 
Na hapo Dangote kina installed capacity ya 7 million tonnes na kina produce tu 3milliom tonnes

Tanzania produces around 7million tonnes a year and consumes about 6million
 
Tanzania tunatengeneza 6.9tonnes per year, mahitaji yetu ni 5.6 tonnes, ziada tunawauzia DRC, Rwanda, Burundi, Zambia na nchi zingine, ninyi mnazalisha kiasi gani?
7.5M tonnes, consumption is 7.3M tonnes. Tanzania will never reach Kenya's level.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom