Kenyan cement makers eye massive DR Congo market

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,756
48,403
Kenyan cement companies have stepped up expansion plans with an eye on the estimated 10 million metric tonnes annual demand of cement in the Democratic Republic of Congo (DRC) market.

The East Africa region’s installed cement capacity is currently estimated at 15.6 million tonnes, with 8.6 million tonnes of that figure produced in Kenya according to data from the Kenya National Bureau of Statistics.

Cement firms are expanding their total clinker production capacity by 70 percent to 10.7 metric tonnes per year by 2023 from the current 6.3 metric tonnes as part of their strategy to expand in the EAC region.

East African Portland Cement Company (EAPCC), National Cement, Bamburi Cement, Karsan Ramji & Sons, Rai Cement and Savannah Cement plan to add a total of 4.4 metric tonnes annually to their clinker capacities.

“In the past 10 years, EAPCC has been missing from the infrastructural agenda due to competition among other challenges. Now we have come up with a five year strategic plan as we want to revamp our operations,” said Oliver M. Kirubai, managing director at the EAPCC.

“We are targeting the East African market, including the DRC. We are getting inquiries from Rwanda as well.”

All the EA countries have infrastructure projects lined up.

“Uganda and Tanzania want to do roads and the Standard Gauge Railway. In Kenya, the growth in cement production and consumption is attributed to President Uhuru Kenyatta’s Agenda Four pillars including housing and manufacturing sectors,” he said.

“Despite Covid-19 pandemic, the cement demand has been growing. The cement industry is growing at a double digit growth because of government spending on infrastructure.”

Infrastructural projects such as the Nairobi Expressway, Dongo Kundu bypass, James Gichuru-Rironi highway, Nairobi Western bypass, as well as construction of mega dams in various parts of the country have seen increased consumption of cement.

“In our industry, competitive advantage lies in operational efficiency and low production costs,” said Kirubai.

The DRC, which is set to join the EAC regional bloc this year, is a country in need of infrastructure development.

Last week, the DRC Deputy President and Minister for Foreign Affairs, Christophe Lutundula Apala Pen’Apala said one of the things they want to do is surface infrastructure.

“We have embarked on a national programme of reconstruction in various sectors including infrastructure, agriculture, energy and environmental conservation,” said Pen’Apala.

“We already import our goods through Mombasa port and therefore road construction especially in the eastern Congo is part of our major plans. We are seeking partnerships and investment in major infrastructure projects.”

The EAPCC welcomed DRC’s entry into the EAC regional bloc saying its 92 million people population offers a huge market for industrial products from Kenya.

“Cement consumption in sub-Saharan Africa at the moment is 113 million metric tonnes. In DRC, the demand would be lower but DRC instantly needs 10 million metric tonnes of cement of which they don’t have such capacity to deliver,” Kirubai explained.

Clinker investment​

“We plan a plant refurbishment to deliver operational excellence and therefore contain production costs and enable us venture into DRC and her environs.”

EAPCC, Bamburi and National Cement are among firms that own their own clinker plants, while Savannah Cement, imports clinker.

Savannah plans to put up a clinker plant in Kitui County with a capacity of 8,000 tonnes per day or 2.7 million tonnes annually.

Savannah also plans to venture into cement making in neighbouring Uganda.

“We have been spending a lot of money importing clinker whose shortage in the country is well documented. We plan to put up our own Clinker plant whose investment is valued at $350 million,” said acting Savannah Cement CEO Samson Shivina.

“We are already supplying the Eastern part of DRC with our product. Eventually we will have a presence in DRC.”

Apart from DRC, Savannah also exports cement to South Sudan and northern Tanzania.

National Cement, which acquired assets of ARM Cement in Kenya in 2019 for $50 million and on an aggressive expansion drive (target: 3.5 metric tonnes) is currently Kenya’s largest cement manufacturer.

Owned by the Devki Group of companies, it already has a presence in Uganda in the name of Simba Cement brand with growing interest in the larger EAC.

Source: The East African
 
Wakati nyinyi mnataka kufanya biashara ya kuuzia maji kongo kwenye madumu, sisi tunajenga bomba la kuwapelekea maji yatakayo tiririka majumbani mwao.

Reli yetu itafika DRC, itabeba saruji kutoka viwanda vyetu vilivyo kila mahali Tanzania. Na kwakuwa gharama za uzalishaji ni chini, hamuwezi kutushida bei.
 
Kumbe bado upo jamaa, hao Kongo hatupo nao mpaka mmoja ila mtashuhudia namna uwekezaji wetu utazagaa kote, kuwazidi nyie mnaochangia mpaka mmoja kwa uzembe wenu.
 
Kumbe bado upo jamaa,
Mi nakuona tuu kule intaneshno unavyoshabikia vita.
hao Kongo hatupo nao mpaka mmoja ila mtashuhudia namna uwekezaji wetu utazagaa kote, kuwazidi nyie mnaochangia mpaka mmoja kwa uzembe wenu.
... still don't get it. We're building a system, a pipeline to deliver water into a village, you on the other hand just selling water in big buckets.
 
... still don't get it. We're building a system, a pipeline to deliver water into a village, you on the other hand just selling water in big buckets.
Miaka yote tangu muwe nao mpaka mmoja leo ndio mnaongea mambo ya sijui pipeline, wiki ijayo DRC wanakua ndani ya EAC rasmi, ikumbukwe tulikua tunaongoza kuwekeza huko hata kabla yao kuwa EAC, sasa subiri uone utitiri.
Mi nakuona tuu kule intaneshno unavyoshabikia vita.
Yeah! ilikua lazima nitoe tamko pale Mrusi ameingia kwenye nchi ya watu na kuwapiga mabomu.
 
Miaka yote tangu muwe nao mpaka mmoja leo ndio mnaongea mambo ya sijui pipeline, wiki ijayo DRC wanakua ndani ya EAC rasmi, ikumbukwe tulikua tunaongoza kuwekeza huko hata kabla yao kuwa EAC, sasa subiri uone utitiri.
Tatizo la Kongo ni miundombinu, hakuna barabara wala reli, hivyo kufanya biashara ngumu. Ndiyo maana tunawapelekea reli kupitia Burundi na kuna barabara Tanroads walikuwa wanafanya mpango kuwajengea kule Kalemie.
 
Tatizo la Kongo ni miundombinu, hakuna barabara wala reli, hivyo kufanya biashara ni ngumu. Ndiyo maana tunawapelekea reli kupitia Burundi na kuna barabara Tanroads walikuwa wanafanya mpango kuwajengea kule Kalemie.

Kongo kama Tanzania wana matatizo mengi sana, sio miundo mbinu tu, liinchi lao likubwa lenye kila aina ya raslimali ila mpaka leo maskini wa kutupwa, subiri uone utitiri wa manyang'au, tutawekeza sana, uzuri wao sio wazembe wazembe na wenye wivu kama nyie hapo.
Kule tutakesha popo hadi kieleweke.
 
Miaka yote tangu muwe nao mpaka mmoja leo ndio mnaongea mambo ya sijui pipeline, wiki ijayo DRC wanakua ndani ya EAC rasmi, ikumbukwe tulikua tunaongoza kuwekeza huko hata kabla yao kuwa EAC, sasa subiri uone utitiri.

Yeah! ilikua lazima nitoe tamko pale Mrusi ameingia kwenye nchi ya watu na kuwapiga mabomu.
Umesahau Uganda ambayo ni karibu yenu tulivyowapokonya biashara?, South Sudan hatuna mpaka neo Nako pia tunakaribia kuwatimua, hiyo DRC tunafanya nayo biashara(trade volume) ni mara mbili zaidi yenu, kumbuka Tanzania Uzalishaji wa Cement ni mara mbili ya Kenya, tena ni Bei nafuu kuliko Kenya
 
Kongo kama Tanzania wana matatizo mengi sana, sio miundo mbinu tu, liinchi lao likubwa lenye kila aina ya raslimali ila mpaka leo maskini wa kutupwa, subiri uone utitiri wa manyang'au, tutawekeza sana, uzuri wao sio wazembe wazembe na wenye wivu kama nyie hapo.
Kule tutakesha popo hadi kieleweke.
Wazembe ni wale ambao tuliwanyang'anya bomba la mafuta. Wazembe walishindwa kutekeleza COW.
 
The East Africa region’s installed cement capacity is currently estimated at 15.6 million tonnes, with 8.6 million tonnes of that figure produced in Kenya according to data from the Kenya National Bureau of Statistics.
Hizi figures zijui huwa zinatoka wapi..

If this is true it means Rwanda + Burundi + Uganda + Tanzania = 7Mta production capacity. Well Dangote Tanzania produced 3Mta, Twiga Cement is at around 2Mta.
 
Hizi figures zijui huwa zinatoka wapi..

If this is true it means Rwanda + Burundi + Uganda + Tanzania = 7Mta production capacity. Well Dangote Tanzania produced 3Mta, Twiga Cement is at around 2Mta.

So unachobisha ni nini haswa.....
 
So unachobisha ni nini haswa.....
The numbers don't make sense.

Kama wanasema Kenya produces 8.6Mta na East Africa yoooote produces 15.6Mta it simply means the rest of EA produces 7Mta. That is not accurate.

Hizi ni figures za Uganda

1647992391197.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom