joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
- Thread starter
- #21
Weka ushahidi Kama zilizuiliwa kufanya biashara TanzaniaBrookside, BAT (Tobacco), Lyons Maid, Kapa Oil
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Weka ushahidi Kama zilizuiliwa kufanya biashara TanzaniaBrookside, BAT (Tobacco), Lyons Maid, Kapa Oil
Wewe ndiye mwenye uwelewa mdogo, soma tena nini ametaka kuzungumzia hadi kuitaja Sri-Lanka, Sasa kitu gani hujaelewa hapo?.SRI Lanka inaingiaje hapa? Hebu muwe mnachukua time kusoma issues za kimataifa kabla ya ku post. Short of that mnaonyesha how mediocre minded you are
Basi kila tatizo duniani litakuwa linked na Sri Lanka maana kila Nchi Ina viongozi na viongozi ndiyo wanafanya maamuziWewe ndiye mwenye uwelewa mdogo, soma tena nini ametaka kuzungumzia hadi kuitaja Sri-Lanka, Sasa kitu gani hujaelewa hapo?.
Yeye anaonyesha ni jinsi gani viongozi wa Kenya wakishirikiana na wafanya biashara wanavyokandamiza wananchi wa chini kwa manufaa Yao, jambo linalosababisha hali ya maisha kuwa mbaya kwa raia wa kawaida Kama ulivyotokea huko Sri-Lanka hadi wananchi wakalazimika kuingia Ikulu, Sasa hapo unashindwa kuunganishaje?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo kwa Sasa hivi ulitaka alinganishe na nchi gani ambayo watu wake wameamua kuing'oa serikali kutokana na hali ngumu ya maisha?.Basi kila tatizo duniani litakuwa linked na Sri Lanka maana kila Nchi Ina viongozi na viongozi ndiyo wanafanya maamuzi