komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,646
Hihiiii!!sema wewe ndio unaombaSio wanaendelea na maisha ya kawaida ndio wanakoenda kuwa kama wao
Deni la mchina hata halina uzito wowote katika deni la taifa.
Hihiiii!!sema wewe ndio unaombaSio wanaendelea na maisha ya kawaida ndio wanakoenda kuwa kama wao
Ndogo sana na mnashindwa kulipaBwahahaaa!!kajiingiza katika sekta ambayo haiendani na uhalisia wake..kenya ukitoa deni la mchina inadaiwa $50bn..kwhyo hzo ni hela ndogo sana
Lipeni deni kwanza. Acheni kuomba msamaha.😂😂 nyie mchina alikua si anataka kushika port yenu ya mombasa, mnakopa ela zinaishia on the pocket of ur leaders
Bc Haya sawa muda utaongeaHihiiii!!sema wewe ndio unaomba
Deni la mchina hata halina uzito wowote katika deni la taifa..
Utanzania ni ugonjwa mbaya! Leta evidence ya kuwa Kenya imeshindwa kulipa!! Kenya si Tanzania mwanaume.Ndogo sana na mnashindwa kulipa we nyumbu.
Wewe endelea kujifariji tu, lakini kenya ishakua kama mgonjwa wa ukimwi bila ARV hakuna maisha na ndio kama kenya bila mikopo hiyo nchi yenu aitoboi popote na mbaya zaidi sehemu kubwa ya mikopo inaishia mifokoni mwa wa njanja wachache.
Sasa mmeingia kwenye kumi nane za wahuni kutoka Beinjing lazima mtakubali show
Yani $50bn isitushinde ije hako ka peanut ka chinaNdogo sana na mnashindwa kulipa we nyumbu.
Hiyo $50 isiwashinde kiaje yaani? Mlishalipa kiasi hicho cha pesa wapi? Hizo $50+ ni za mashirika ya fedha ya kimataifa hao hawana tabu sana.Ila Mchina akikukopesha hana longolongo na pesa yake.Unairudisha bila kujivuta.Zile 33B kshs za SGR mmeshindwa lipa! China anaenda kupata makoloni ya kutosha Africa sasa!Yani $50bn isitushinde ije hako ka peanut ka china
😂😂 sijajua kama ni povu au nini lakini mimi sina tatizo na kenya wala wakenya couz nyie ni watani zetu na tunatania na kumbiana ukweli tu, au unataka kukataa kua kenya sio namba tatu katika nchi zenye madeni makubwa kutoka kwa wahuni wa Beijing
- Tumeingia show tangu JF kuanzishwa. Wamekuja wengi kabla yako na kusema haya ila nambari tunashikilia kidete. Alianza Geza ulole, kafuatwa na Kadoda, motochini,Mulisaa alafu new breeds wakatokea kina mkikuyu akili timamu, joto la jiwe, ichoboy na Sasa naona California na drone camera mshaingia. Karibuni ila mjue Sisi Wakenya...We came to JF We saw we conquered.
kisa cha nyani na kundule labda......Kenya inashikilia namba ya tatu miongoni mwa nchi zenye madeni makubwa zinazodaiwa na china inakadiliwa kenya inadaiwa kama $7.9 bilion ela ambazo serikali ya kenya ilizikopa ili kusaidia miradi mbalimbali ya kiuchumi nchini kenya, hata hivyo kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi wa kenya wakiwatuhumu viongozi wao kwa matumizi mabaya ya fedha hizo za mkopo ambazo zinalipwa kupitia kodi za wananchi.
Katika orodha hii nchi za east africa nimeiona kenya huku akipewa back up na mbabe wake Ethiopia
Mwisho napenda kuwapongeza watani zetu kenya kwa kushika namba tatu katika orodha hii kwani mmetugalagaza sisi tz kwani atuonekani kabisa katika top ten
The Top Ten African Countries With the Largest Chinese Debt | The African Exponent.
Uko na ushahidi wowote kutoka kw hao lenders km tumeshindwa kuwalipa.Hiyo $50 isiwashinde kiaje yaani? Mlishalipa kiasi hicho cha pesa wapi? Hizo $50+ ni za mashirika ya fedha ya kimataifa hao hawana tabu sana.Ila Mchina akikukopesha hana longolongo na pesa yake.Unairudisha bila kujivuta.Zile 33B kshs za SGR mmeshindwa lipa! China anaenda kupata makoloni ya kutosha Africa sasa!
Ungeliweka na pato la taifa kila nchikisa cha nyani na kundule labda......
Swahili Times
@swahilitimes
Deni la Taifa kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki hadi Juni 2019 (takwimu za Rwanda ni hadi Dis. 2018) (TZS):
Kenya: 133.7 trilioni
Tanzania: 51.8 trilioni
Uganda: 27.6 trilioni
Rwanda: 12.4 trilioni
Burundi: 5.4 trilioni Jumla: 230.9 trilioni HT: The EastAfrican
11:29 PM · Nov 12, 2019·Twitter Web App
51
Retweets
MK254Kenya inashikilia namba ya tatu miongoni mwa nchi zenye madeni makubwa zinazodaiwa na china inakadiliwa kenya inadaiwa kama $7.9 bilion ela ambazo serikali ya kenya ilizikopa ili kusaidia miradi mbalimbali ya kiuchumi nchini kenya, hata hivyo kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi wa kenya wakiwatuhumu viongozi wao kwa matumizi mabaya ya fedha hizo za mkopo ambazo zinalipwa kupitia kodi za wananchi.
Katika orodha hii nchi za east africa nimeiona kenya huku akipewa back up na mbabe wake Ethiopia
Mwisho napenda kuwapongeza watani zetu kenya kwa kushika namba tatu katika orodha hii kwani mmetugalagaza sisi tz kwani atuonekani kabisa katika top ten
The Top Ten African Countries With the Largest Chinese Debt | The African Exponent.
kisa cha nyani na kundule labda......
Swahili Times
@swahilitimes
Deni la Taifa kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki hadi Juni 2019 (takwimu za Rwanda ni hadi Dis. 2018) (TZS):
Kenya: 133.7 trilioni
Tanzania: 51.8 trilioni
Uganda: 27.6 trilioni
Rwanda: 12.4 trilioni
Burundi: 5.4 trilioni Jumla: 230.9 trilioni HT: The EastAfrican
11:29 PM · Nov 12, 2019·Twitter Web App
51
Retweets
Both. Start with foreign reserves.