CARIFONIA
JF-Expert Member
- Aug 17, 2013
- 517
- 901
Kenya inashikilia namba ya tatu miongoni mwa nchi zenye madeni makubwa zinazodaiwa na china inakadiliwa kenya inadaiwa kama $7.9 bilion ela ambazo serikali ya kenya ilizikopa ili kusaidia miradi mbalimbali ya kiuchumi nchini kenya, hata hivyo kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi wa kenya wakiwatuhumu viongozi wao kwa matumizi mabaya ya fedha hizo za mkopo ambazo zinalipwa kupitia kodi za wananchi.
Katika orodha hii nchi za east africa nimeiona kenya huku akipewa back up na mbabe wake Ethiopia
Mwisho napenda kuwapongeza watani zetu kenya kwa kushika namba tatu katika orodha hii kwani mmetugalagaza sisi tz kwani atuonekani kabisa katika top ten
The Top Ten African Countries With the Largest Chinese Debt | The African Exponent.