Kenya yashika namba tatu miongoni mwa nchi zenye madeni makubwa kutoka China kwa nchi za Bara la Africa

kwa rushwa iliyokithiri iliyopo kenya, sehemu kubwa ya deni imepigwa na wajanja jombaaaaa

Hizi nchi zetu rushwa, ufisadi na ufujaji wa pesa ni ngumu sana kujiepusha navyo, ni tatizo sugu.

Hata hivyo wote wakenya na watanzania tupo kwenye dimbwi la madeni na bado yanaongezeka. Ndio maana siasa za kujivunia unafuu wa umasikini si ziafiki sana.
 
We wafananishe wachina na taasisi kama WB au IMF, mtaumia muda si mrefu. Kama ilivotokea Zambia na shirika la umeme soon utasikia bandari ya Mombasa imepewa jina jipya "Mon Ban So Oversea port
Si nyi mlikua tayari mnauza bagamoyo iwe overseas port ya mchina kama vile ile bandari ya sri lanka!

Sisi tuko na foreign reserve ya $9B hata wakaja leo hao wachina na wadai pesa zao zote, nchi haitaanguka kwasababu yao
 
Wewe endelea kujifariji tu, lakini kenya ishakua kama mgonjwa wa ukimwi bila ARV hakuna maisha na ndio kama kenya bila mikopo hiyo nchi yenu aitoboi popote na mbaya zaidi sehemu kubwa ya mikopo inaishia mifokoni mwa wa njanja wachache.

Sasa mmeingia kwenye kumi nane za wahuni kutoka Beinjing lazima mtakubali show
 
Si nyi mlikua tayari mnauza bagamoyo iwe overseas port ya mchina kama vile ile bandari ya sri lanka!

Sisi tuko na foreign reserve ya $9B hata wakaja leo hao wachina na wadai pesa zao zote, nchi haitaanguka kwasababu yao
Proof please!!
 
Facts do not penetrate their heads. We borrow and pay, they borrow and come crying afterwards to be forgiven their debts.
😂😂 nyie mchina alikua si anataka kushika port yenu ya mombasa, mnakopa ela zinaishia on the pocket of ur leaders
 
Hawa jamaa wako busy kukopa kujenga expressways wapigwe pesa na mchina kwenye tolls wakati sisi tunajenga infrastructure kuaccomodate Public Transport for all. Sijui wanafikiria nini?
Jana baada ya kusikia Uganda wamepewe dola milion 500 kupambana na corona, Kenya ikatangaza visa vipya 300 kwa wakati mmoja. Wameona Uganda inataka kuwapiku
 
Kenya inashikilia namba ya tatu miongoni mwa nchi zenye madeni makubwa zinazodaiwa na china inakadiliwa kenya inadaiwa kama $7.9 bilion ela ambazo serikali ya kenya ilizikopa ili kusaidia miradi mbalimbali ya kiuchumi nchini kenya, hata hivyo kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi wa kenya wakiwatuhumu viongozi wao kwa matumizi mabaya ya fedha hizo za mkopo ambazo zinalipwa kupitia kodi za wananchi.

Katika orodha hii nchi za east africa nimeiona kenya huku akipewa back up na mbabe wake Ethiopia

Mwisho napenda kuwapongeza watani zetu kenya kwa kushika namba tatu katika orodha hii kwani mmetugalagaza sisi tz kwani atuonekani kabisa katika top ten

The Top Ten African Countries With the Largest Chinese Debt | The African Exponent.

Mkuu unajua kuwa deni hasa likiwa kubwa ni dalili ya kuaminika? Je unajua ya kuwa "the opposite is also true?"

Hiyo ndiyo hesabu na namba huwa hazidanganyi.
 
Mkuu unajua kuwa deni hasa likiwa kubwa ni dalili ya kuaminika? Je unajua ya kuwa "the opposite is also true?"

Hiyo ndiyo hesabu na namba huwa hazidanganyi.
Vipi thread za korona mbona huleti siku hizi au malipo yamekatwa?
 
Si nyi mlikua tayari mnauza bagamoyo iwe overseas port ya mchina kama vile ile bandari ya sri lanka!

Sisi tuko na foreign reserve ya $9B hata wakaja leo hao wachina na wadai pesa zao zote, nchi haitaanguka kwasababu yao
Ndio mana sisi rais wetu akishtuka!

Wachina lazima wawaoe wakenya wote ni suala la muda tu
 
Back
Top Bottom