#COVID19 Kenya yarekodi visa vipya 127 vya Covid-19, maambukizi yapanda mpaka 16.6%

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,446
7,816
Wizara ya afya nchini Kenya imesema watu 127 wamekutwa na maambukizi ya Covid-19 kati ya watu 763 walichukuliwa vipimo ikiwa ni asilimia 16.6

Kwenye visa hivyo, wanaume ni 61 huku wanawake wakiwa 66 na mtu mdogo zaidi ni mtoto wa mwaka mmoja na mkubwa zaidi ana umri wa miaka 87.

Jumla ya watu waliokutwa na Covid ni 340,114 kati ya watu 3,927,744 waliochukuliwa vipimo.

1668102372178.png

Zaidi, soma=> Maambukizi ya Covid Kenya
 
Back
Top Bottom