Kenya yampongeza JK kwa hotuba yake bungeni

Kenya yampongeza JK kwa hotuba yake bungeni

naic Uhuru nae alitaka kua rais wa milele kama pk na mu7!
 
Uhuru inabidi awe makini sana na Kagame na Museveni maana style ya utawala wao ni tofauti sana na nchi zote za EAC.. kama tusipokuwa makini hawa ndio wataiua jumuia yetu kwa maslahi yao binafsi
 
Uhuru ni mpuuzi sana ni kama kahaba fulani hivi.
 
yule msemaji wa uganda na m23 sijui atajisikiaje sasa!!!!!
 
Wasitake kuzuga eti walikuwa hawajui, badala yake walifanya makusudi, na hii isiwapumbaze hapo wameuma na wamekuja kupulizia. Hapo ni kujaribu kuwazubaisha, inatakiwa uongozi wa TZ uwe madhubuti na kuendelea na mipango madhubuti ya miundo mbinu na ushirikiano wa kiuchumi na DRC.
 
Thubutu! Wale watutsi walivyo na viburi na dharau kamwe hawawezi kufanya hivyo. In fact habari zilizopo ni kwamba wanataka kurudi kwenye Muungano wa Nchi za Afrika ya Kati (Central Africa Regional Bloc). Ni mabingwa wa kuharibu mahusiano na vigeugeu balaa.

Dudus,unachosema ni kweli kabisa! Sisi ndiyo tunamatatizo kwa kushindwa kuelewa vitu tunavyo ona kwa macho,nani asiyeelewa kuwa wao kugeukana ndiyo maisha yao?Sembuse sisi majirani!!
 
big up MZALENDO MKUU umesema kweli kabisa i like it,,
 
Kenya wameshtuka wameona tukibana.. wao ndo watakua losers..hamna soko kubwa huko kwa waganda na wanyarwanda kuliko hapa kwetu na pia at least Tanzania kuna vitu wanavipata pia.Vile vile tunatambulika na kuheshimika kimataifa kwa hio kutuomba tumgombelezee kesi yake ICC maana hao wengine soon nao watakua watuhumiwa teehteeh hawezi hata kuwaomba hilo.
 
Kumbe hawakuwa wanajua kama walikuwa wanafanya makosa ma Kikwete alikuwa bado kuwauliza!
 
Kenya wameshtuka wameona tukibana.. wao ndo watakua losers..hamna soko kubwa huko kwa waganda na wanyarwanda kuliko hapa kwetu na pia at least Tanzania kuna vitu wanavipata pia.Vile vile tunatambulika na kuheshimika kimataifa kwa hio kutuomba tumgombelezee kesi yake ICC maana hao wengine soon nao watakua watuhumiwa teehteeh hawezi hata kuwaomba hilo.

Unajifariji kwa sababu sote ni WAPUUZI. Kwani Kenya walituomba tuwasaidie kesi ya ICC. Kwanza tukumbuke Tanzania kupitia Mkapa na Koffi Annan ndiyo tulipeleka yale majina ICC. Sasa inakuwaje Tanzania hiyohiyo ndiyo iwe na huruma na Kenyatta. Huko ni kukosa msimamo tu. Pamoja na kujipendekeza kwetu Kenyatta AMETUZODOA.

Huko kutupongeza ni unafiki wao tu. Tuwe na msimamo. Tunakiwa kujua kuwa tumezungukwa na maadui wakiongozwa na Kenya.
 
Hivi EAC Ndio muungano WA Tanzania na Zanzibar, au huu Ni mgogoro mwingine. Wamwambie Mu7 aje kuomba msamaha.
 
Lengo la ziara ya bi Amina ni kutafuta kuungwa mkono juu ya ICC. Biashara ya eac ni btw. Hii ndio kazi yake kubwa kwa sasa
 
Kila siku nilikua nashangaa kwa nini jk kazunguka dunia nzima lakini jirani hapa rwanda hajaenda kwa ziara rasmi. Sasanapata majibu. hii bifu ni ya mda mrefu
Kama ya mwalimu na nduli!
 
Unajifariji kwa sababu sote ni WAPUUZI. Kwani Kenya walituomba tuwasaidie kesi ya ICC. Kwanza tukumbuke Tanzania kupitia Mkapa na Koffi Annan ndiyo tulipeleka yale majina ICC. Sasa inakuwaje Tanzania hiyohiyo ndiyo iwe na huruma na Kenyatta. Huko ni kukosa msimamo tu. Pamoja na kujipendekeza kwetu Kenyatta AMETUZODOA.

Huko kutupongeza ni unafiki wao tu. T uwe na msimamo. Tunakiwa kujua kuwa tumezungukwa na maadui wakiongozwa na Kenya.[/ QUOTE]Tanzania inatakiwa kuwa makini zaidi na Kenya wala siyo hao M7 na Kagame.
 
Back
Top Bottom