Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Bora uishi kijanja janja kuliko kizezeta maana udhaifu ni viongozi tuliowapa mamlaka lakini wametufelishaHizo hela walizonunulia treni ni za madini yetu,, hio ndo ile nchi inayoongoza kwa kuuza madini yanayochimbwa kwetu! Wao hawachimbi ila wanaongoza kuuza,,,, wizi na ujanja ujanja
Hizo hela walizonunulia treni ni za madini yetu,, hio ndo ile nchi inayoongoza kwa kuuza madini yanayochimbwa kwetu! Wao hawachimbi ila wanaongoza kuuza,,,, wizi na ujanja ujanja
Kireli chao hata hivyo ni kifupi kama kutoka POSTA mpaka PUGU hivyo kuwa na SUBIRAwenzetu wanafanya kweli huku kwetu sisi tumekalia porojo tu
wazimu??? kivipi?Mnamtia wazimu Bob mjue
Mzukawazimu??? kivipi?