otimbiotimbi
Senior Member
- Dec 12, 2019
- 151
- 266
Hispania leo wameanza maombolezo ya siku 3 kutokana na ajali ya treni iliyoua watu 68.Sisi ndugu zetu 518 kutokana na yale ya october 29 afu leo waliosababisha wako busy kama hakuna kilichotokea vile!!😞😞😞