Kenya wanatikisika na hatujaanza hata kuhit 8% bado!

Sasa ni wazi labda kwa mara ya kwanza kabisa kwamba nchi ya Kenya pmj na maelite wake wanaingiwa na hofu na TanZania mpya, na hapa naongelea kiuchumi!
Hofu kubwa imetanda huko Kenya baada ya kuona jinsi nchi yetu inavyoanza kutoboa, na hapo ndiyo kwanza bado tunakuwa kwa ~7% vipi tukihit 8% na baadaye kidogo 10% si ndiyo watakufa kabisa!!

Chanzo ni mimi mwenyewe nilikuwa Nairobi hivi karibuni na huko maelite wote wamepoteza matumaini kabisa na Serikali yao (Kenya) na sasa huko mazungumzo ni kuhusu nchi yetu na Magufuli wetu!

Utangoja sana kaka. Ulikutana na ma elite wote? Hehe
 
Kujipa moyo ni kuzuri,kunapunguza magonjwa ya moyo na sukari,kuwafikia Kenya tusubiri labda miaka kumi na tano,uchumi haujengwi kwa maneno au daraja la kigamboni,uchumi unahitaji mipango sio kutumbua majipu kwenye TV kila siku,hao Ethiopia wenyewe hawajagusa hata nane pamoja na jitihada nyingi wanazofanya,mje nyie na majipu yenu eti mtafika 8 au 10
 
Achana na hao first world country in East Africa ambayo ina raia wanakufa na njaa.
 
Kujipa moyo ni kuzuri,kunapunguza magonjwa ya moyo na sukari,kuwafikia Kenya tusubiri labda miaka kumi na tano,uchumi haujengwi kwa maneno au daraja la kigamboni,uchumi unahitaji mipango sio kutumbua majipu kwenye TV kila siku,hao Ethiopia wenyewe hawajagusa hata nane pamoja na jitihada nyingi wanazofanya,mje nyie na majipu yenu eti mtafika 8 au 10

Na tukigonga 8% utatoa nini? Ahidi hapa kila mtu akusikie!!!
 
Inawezekana mkuu
1463639511280.jpg
 
Back
Top Bottom