Keep on dreaming brother....Sasa ni wazi labda kwa mara ya kwanza kabisa kwamba nchi ya Kenya pmj na maelite wake wanaingiwa na hofu na TanZania mpya, na hapa naongelea kiuchumi!
Hofu kubwa imetanda huko Kenya baada ya kuona jinsi nchi yetu inavyoanza kutoboa, na hapo ndiyo kwanza bado tunakuwa kwa ~7% vipi tukihit 8% na baadaye kidogo 10% si ndiyo watakufa kabisa!!
Chanzo ni mimi mwenyewe nilikuwa Nairobi hivi karibuni na huko maelite wote wamepoteza matumaini kabisa na Serikali yao (Kenya) na sasa huko mazungumzo ni kuhusu nchi yetu na Magufuli wetu!
khaaa we jamaa nimecheka sanaUhaba wa sukari umeathiri sana fikra za watu
Kujipa moyo ni kuzuri,kunapunguza magonjwa ya moyo na sukari,kuwafikia Kenya tusubiri labda miaka kumi na tano,uchumi haujengwi kwa maneno au daraja la kigamboni,uchumi unahitaji mipango sio kutumbua majipu kwenye TV kila siku,hao Ethiopia wenyewe hawajagusa hata nane pamoja na jitihada nyingi wanazofanya,mje nyie na majipu yenu eti mtafika 8 au 10
Senkyuuuu saaaaaaadeficiency of glucose in the bloodstream
Hapo umenena ukweli mtupu! Maana mambo ya hizi ni kama tu ya watu binafsi. Fanya unachokifanya kwa sababu unahitaji kukifanya na umekipangia kwa uadilifu wa kutosha na zaidi ya yote, unaweza gharama inayotukia. You need it and you can afford it. Ukinunua hiki ili uonekane kwamba uko vizuri kuliko yule jirani, na huku huna mtaji, ni ujinga mtupu!Kaka hebu fanya kazi tu na hasa iliyokupeleka huko kwa kuwa Tanzania haiendelei ili iipiku Kenya na hata kama itaipiku bhasi itakuwa ni impact tu za juhudi zetu.....
Ndugu zetu hawa wanatudharau sana lakini hii sio sababu tosha ya wewe kulifurahia hili kwa sababu mwisho wa siku utaonekana ni kama mtu anaelazimisha kitu ambacho hakiwezi kutokea...
By the way economic growth hiyo haina maana yoyote kwa MTU wa hali ya chini kwa kuwa hata sukari ni 6000...