mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,726
Akiripoti kutoka Kenya kipindi cha radio one stereo nipashe leo asubuhi ,Dennis Msundi amesema bidhaa hizi kwa sasa hivi zinapatikana katika maduka makubwa tu yaani supermarket kukiwa na condition kuwa mteja haruhusiwi kununua zaidi ya kilo sita
Kenya sasa hivi inakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula uliosababisha kupanda kwa bei za vyakula
My take:kuna jambo lakujifunza kutoka kwa jirani zetu hawa liwe baya au zuri,matatizo ya nchi moja ya Africa ni reflection ya sera za nchi nyingi masikini ambazo zime adopt sera za ubepari-kigeni (cash crop agriculture) bila kuzingatia madhara na mahitaji ya jamii zake yaani demamd driven production na human centred development