Kenya sasa yaongoza kwa demokrasia shirikishi katika EAC... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kenya sasa yaongoza kwa demokrasia shirikishi katika EAC...

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by Rutashubanyuma, Nov 15, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,364
  Trophy Points: 280
  Pamoja na Celina Kombani kuongopa ya kuwa nafasi ya raisi katika katiba mpya kutuchagulia waandishi wake na huku akijigamba na mifano ya Ghana na Kenya lakini ukweli unamuumbua kwa sababu kenya Raisi kazi yake ni kuthibitisha majina baada ya mfumo wazi wa kupata viongozi umefanyika.............................iwe ni Tume ya uchaguzi, iwe ni majaji, iwe ni nafasi yoyote ile ikiwemo ya kuandika katiba mpya...................nafasi hutangazwa magazetini na kutoa fursa sawa kwa raia wote kushiriki katika kuziomba nafasi hizo........................kwenye baadhi ya nafasi tume husika huchekecha majina na kuyapeleka bungeni kwa uthibitisho na baada ya bunge kuyathibitisha basi raisi hufanya uteuzi................hapa teuzi ni siri ya Raisi.............na hakuna demokrasia shirikishi.............mtanzania mwenye sifa lakini hajuani na Raisi au vikaragosi wake kamwe hatapewa nafasi sawa................................katika teuzi za Raisi........................matokeo yake ni bora viongozi badala ya kuwa uongozi bora...........Hongereni Kenya na Tanzania tupende tusipende.................the future lies in photocopying Kenyan constitutional example....................tusipofanya hivyo tununue vifaru vingi......................maji pilipili kibao...................mabomu ya machozi lukuki...........................ili kuzima azma halali ya watanzania kushirki katika kujiletea maendeleo yao wenyewe....................taasisi ya Uraisi imeshindwa kutuletea maendeleo yetu wenyewe katika miaka 50 iliyopita kwa nini tuendelee na uozo uleule?
   
 2. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hongera Kenya...
   
 3. M

  MLEKWA Senior Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 18, 2007
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  The statement quoted Mr Netanyahu as promising to help build a "coalition against fundamentalism" in East Africa, incorporating Kenya, Ethiopia, South Sudan and Tanzania. Watanzania tujiulize kweli rafiki yangu anatafuta pesa ya Kutimiza ndoto yake ya Urais Raila hii sitawaficha kuna report ya kitu kinitwa (scis) ni ofisi ya kuistua serikali huko west kwua East Africa ni sehemu muhimu barani Afrika hasa ikizingatiwa mipangilio ya Wamarekani na Israel kuhakikisha mafuta ya south sudan yote yaunganishwe na East Africa through KEnya. Vita vya KEnya vinavyopiganwa sasa hivi ni vita vilivyo kuwa sub contaracted kwa maslahi ya makampun iya mgharibi yanayoghramia BAndari Kubwa sasa hivi inayojengwa Kenya kwa ajli ya Mafuta ya South Sudan. East Africa isijeikaingizwa kweney Vita na North Sudan na Somalia kwa faida ya makamapuni ya mgharibi ( Nawaonya Watanzania Wakenya kuna mengi wamepiga hatua kidemokrasia ila ni wataalamu wazuri wa Kupiga dili .I do resepect alot Raila ila he ia gambler to protect his intrest more than the intrest of East Africans. Nilifurahi Watanznaia waliposema hatuko tayari kuwa na full integration wkani kiukweli Tanzania ni muhimu na haiko tayari kutekwa nyara na East Africa iliokuwa haina infstructure za kulinda mslahi ya wanachama wa jumuia hii leo tujiulize East Africa hkuna enemy country ila Uganda na Rwanda zinaongoza KWa east Africa kWA Manunuzi ya Silaha tujiulize why ?
  Watanzania wanahitaji long over haul ya constitution ilio peaceful kwa intrest ya Watanzania wenyewe. Kuanza kuogopana Watanzania wenyewe kwa mslah ya Vyama vyao ni kuwapa mwanya wanaoitaka keki ya watanzania kuikata kipande . Ni Wakati Muafaka Rais Kikwete Kuunda Baraza la Taifa la kujadili Katiba Mpya litakalowahusisha wadau wote wenye vyama , wasio na vyama , Waislamu , Wakristo , Wahindu . Wapagani , Wafanya biashara , Wanawake , Vijana na Wasomi wa ndani na nje walio watanzania kuhakikisha Tanzania inakua ni bora kwua na katiba ilio bora wakati tunajitayarisha na jumuia ya East Africa kuliko kuendelea kudanganyana kama watoto athari kubwa usoni CCM wakubali kuweka ego yao pembeni wawaite wadau wote pale Uwanja wa Taifa kujadili katiba wka 90 days na Vyombo vya habari vitoe nafasi yake kuwashirikisha kutoa maoni yao live kwenye redio na TV. Mchaka mchaka wa Kutaka kuteka uchumi wa East Africa umeanza kwa makampuni makubwa ya Dunia inabidi Watanzania tuamke mapema kabla ya wenzetu kututia kitanzi cha roho.Tanznaia haraka sana ibadilishe sheria yaardhi kwani ukwli wageni waniteka wka siri kwa kushirikiana na watanzania mafisadi wanauza maelfu ya eka yaardhi wka wageni wakati maelfu ya watanznaia hawana ardhi ya kulima au kuishi tunaenda wapi Watanzania ?
   
 4. n

  nomasana JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 60
  AND THE RESULT OF ALL OF THAT IS THIS

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. n

  nomasana JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 60
  honestly i am proud of my country when i see such transparency in the govt. simply because everytime we see these interviews, it is a victory for the regular Kenyan.

  Kenyans have dreamed of this kind of stuff for over a decade, we FOUGHT HARD AND MARCHED IN THE STREETS to make this new constitution a reality. it is a good thing to see the new constitution bring new changes.
   
 6. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Give thanks to freedom fighters who made good environment for today's Kenyan Demokrasia and not DOMOKRASIA like UG and TZ
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,025
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Afadhali wenzetu hao.
   
 8. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tutafute katiba nzuri, lakini wakenya pamoja na katiba yao, kazi yao wanaiota Tanzania, kazi kukimbilia Tanzania..mkae kwenu!
   
Loading...