Sisi mi-TZ ni mazoba!!
Tutakalia kulalamika tu hakuna tunachokifanya!! Hivi ni wa-TZ wangapi tumewaza kuanzisha maandamano yasiyokuwa na ukomo tukawatoe ofisini hawa wajinga hawa? Nilisikia kelele fulani wanaharakati eti ooh tutaanzisha maandamano yasiyokoma! Tumb..f waliishia wapi?
Hebu tuache kulalamika maana hatujui kuchukua hatua! Acheni wenzetu wachape kazi sisi tuendelee kuoa wake wengi basi ndo fani yetu!! Nilipenda sana katuni ya olympic jinsi wa-TZ tunavyopiga domo Bla Bla Bla Bla Bla Bla, Mkenya kwa nyuma karibia avunje mbavu kutucheka, Tumb..f zetu!!! Na hili Li-talii sijui kwa nini hawali-Cameron huko labda litatia akili!