Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,348
- 26,144
Mtani huchoki? Maana ulianza hivi: Pay stubs za mshahara wa Rais. Leo umekuja na hayo. Una lenga nini kumhusu ngosha mwenzako? Ha ha ha ha ha ha
Mtani huchoki? Maana ulianza hivi: Pay stubs za mshahara wa Rais. Leo umekuja na hayo. Una lenga nini kumhusu ngosha mwenzako? Ha ha ha ha ha ha
Chuo Kikuu mtani. Ha ha ha ha ha haMtani, ujue sijaanza juzi kuhoji kuhusu mshahara wa rais!
Tokea 2007 nahoji. Cheki hapo Mishahara ya viongozi wa Tanzania
Mwaka 2007 ulikuwa darasa la ngapi wewe? La tano? 😀😀
Wanajielewa sanaaa tena sanaaa nadhani ile vita iliwaboost akili
Sent From Samsung S9 edge using JamiiForum mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Tunahitaji kushtuliwa na tanganyika jeki
Sent from my HUAWEI G730-U10 using JamiiForums mobile app
Bora wao maana sisi mpaka rais ni corrupt!But it is among the World's most Corrupt Countries.
lione hili dubwasha!!But it is among the World's most Corrupt Countries.
!
!
[HASHTAG]#BabaJeska[/HASHTAG] alisema ataonesha salary slip zake. Vipi kuna mtu keshaziona?
Hapa kwetu ukiuliza mshahara wa rais unaweza kula masaa 48 mpaka 72 kwa uchochezi
Ndio..!
!
Unaweza kukuta anakula hata bii kadhaa kwa mwezi, ambayo haina kodi
Jana tume ya mishahara [ya watumishi wa umma] ya Kenya imetangaza viwango vipya vya mishahara ya viongozi wa umma.
Viwango hivyo vipya ni vidogo kidogo kulinganisha na viwango vya sasa.
Kwa hiyo, rais mpya ajaye baada ya uchaguzi wao wa mwezi ujao ataanza kupokea huo mshahara mpya.
Na kama Uhuru Kenyata akishinda basi ina maana mshahara ataopokea kuanzia mwezi Septemba utakuwa ni pungufu kuliko apatao sasa.
Tofauti na huku kwetu ambapo kuna wapumbavu ukiulizia mshahara wa rais wanakwambia 'mshahara wa mtu ni siri'.