Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,175
- 143,960
Kenya ni Nchi inayoelekea kuwa Nchi ya kizungu usiidananishe na BBM ya young dee
Sent From Samsung S9 edge using JamiiForum mobile app
Wanajielewa sanaaa tena sanaaa nadhani ile vita iliwaboost akiliNchi ya kizungu?
Hapana.
Ni ya walau wanaojielewa.
Kujielewa hakuna cha uzungu.
Uwii, huku kwetu wasije wakaiga kwa kutupunguzia watumishi wa ngazi za chini!!!yes na ikifika agozt nane wanapunguziwa mishahara anzia raisi magavana na woote
Yeah.
ndio nimesikia asubuhi kuanzia raisi mawaziri magavana spika nkUwii, huku kwetu wasije wakaiga kwa kutupunguzia watumishi wa ngazi za chini!!!
Unafk unafk nchi hiiBut it is among the World's most Corrupt Countries.
Nyani, kumbuka kipindi kile yupo chato likizoni, alisema akija atataja mshahara wake, tulisha sikia tena? Na watu wanasema mshahara wa Rais Tz ni mkubwa sana. Nadhani kwa Afrika Tz ni ya tatu kwa mshahara mnono wa Marais. Ngoja tuendelee na uzalendo huu tuliouanzishaNchi ya kizungu?
Hapana.
Ni ya walau wanaojielewa.
Kujielewa hakuna cha uzungu.
But it is among the World's most Corrupt Countries.