Kenya Kwanini Njaa bado ni Tatizo..?..

Tatizo :
1. Ndoa ya Uhuru na Raila, imefanya serikali ya Kenya kusinzia nahisi kutakuwa na mambo mengi yatakayopuuziwa huko mbeleni. Uhuru enjoys monopolistic competition

2. Aina ya Ubepari uliotamalaki Kenya. Ameondoka Mkoloni mweupe ameingia Mkoloni mweusi hakuna kilichobadilika ni Mvinyo wa kale ndani ya chupa mpya. Siasa za Kenya baada tu ya kuondoka Mwingereza wananchi wa kawaida walikuwa na matumaini makubwa lakini alivyoondoka Wabantu wenzetu wakaanza kufanya looting ya wealth including land grabbing
Haya ndio matokeo yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusema ukweli serikali ya bongo hairuhusu media kutoa taarifa Kama hizo za majanga tofauti na Kenya ko hatuchekani bora hao watakua attended
 
Wakenya ni waoga. Unadhani revolution inaeza fanyika hapa? Hata mimi ningependa sana ifanyike coz i am sick and tired of this stupid and corrupt government. However Wakenya ni waoga, sioni ikifanyika
 
Mwenzako ameongea ukweli wewe una mqoute halafu unachomekea porojo! Hao wanao kufa njaa siyo kwamba hawajitumi, wamejikuta wapo kwenye upande wa Kenya ambao haupo na ardhi nzuri na juhudi za makusudi hazijafanywa na serikali kuchangamsha shughuli za kiuchumi. Hivi unajua central Tz ikiwepo Dodoma kuna mazingira sawa na Turkana. Sehemu kama hizo serikali ingefanya juhudi maalum kwa kupeleka kilimo cha kustahimili ukame na kutia nguvu kwenye fursa zozote za kiuchumi ambazo zinapatikana. Mfano leo hii Dodoma ndiyo sehemu inayo ongoza E.A kwa uzalishaji wa wine. Kenya tatizo ni ubinafsi wa kikanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo maeneo ya turkana kuna ukame sana, ni vigumu sana kutenganisha ukame na njaa.
Kweli, sasa ajabu anatokea Mkenya anakwambia hao watu wa huko ni wavivu wanaisubiri serikali iwaletee chakula kwakua yeye kazaliwa Thika! Ukiangalia videos wengi ni watoto, wazee na wanawake ndiyo wanapata tabu ila bado mtu anakosa huruma kwa wenzake na kuwaita wavivu. Kenya hii tabia yakuto pendana ndiyo imewafikisha hapa, jiangalieni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni ukabila. Leader anaiba mali ya umma lakini ukimgusa kidogo, watu wa kabila lake wanapiga unyende ati unataka kuwamaliza. Hawa watu wa Turkana kwa mfano, wamepewa zaidi ya bilioni sita kila mwaka since 2013, hebu jiulize hio pesa ya ugatuzi imeenda wapi. Ruto naye amekula bilioni 21 ya dam yenye ingesaidia Wakalenjin wenzake. Hawa viongozi wanaomega pesa kama ugali huwezi wagusa maana jamii yao itazua rabsha. Waafrika wengine tuna ujinga sana.
 
Stori ya Kenya pia inaendelea kutoka kitambo hadi sasa. Go figure. Twajuwaje kwenu watu wanakufa kisha serikali inaficha? at least we don't deny it.
Mzee ukisema Tanzania watu wanakufa na njaa wakati watu tuna zaidi ya tani 100 za mahindi na hatuna kwa kuzipeleka soko lishajitoshereza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui wa kulaumu ni nani hapa. Serikali au wananchi? Mlipoenda kupiga kura, mlibebewa akili? Halafu wanasiaa wanakula pesa za umma bila huruma. Mwizi wa kuku anaadhibiwa vikali kuliko hawa wezi.They roam freely even after stealing billions and someone who steals an egg is burnt alive mbele ya umati wa watu. The world is so unfair.
 
Uliniona nikipiga kura? Uliniona wapi? I can't vote for these thugs both Raila and Uhuru.
 

unamaanisha dodoma ipi...ile yenye majengo ya serikali na nyumba za wananchi za matope...mbna pia hko kuna vijiji na watu wanapata tabu tu...

alafu hyo ya ea tumshaizoea...hta bullet train pia si nynyi ndio mko nayo east africa na afrika nzima
 
sasa km mtu unampelekea maji anawapa mifugo kwanza...alafu njaa inakuuma mbuzi anakufa hta kumchinja hutaki ...mtu unafikiria kununua bunduki ndio upate kuiba mifugo ndio faraja kwao...

lazima waamke bwana..aiiiii...
 
Kwa hii comment yako ya leo nimegundua kumbe huwa siku zingine unakuwa muelewa

Aya hongera umepata bahati ya kuolewa na Richard sawa miss kibera

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
hii si kweli.. Tunaakiba ya kutosha ya chakula 4 yrs foward

Sent using Jamii Forums mobile app


Yes, just as the article says "despite denials". You just demonstrated this by your comment. HAHAHAHA!!!

Furthermore kuna world food programme in Tz, kama kweli muko self suffieicient why have these organizations? there has to be a problem for such organizations to exist in order to fix the issue. But if the issue did not exist in the first place them thereis no need for it. "OOh let me guess, you are gonna DENY that those organizations don't exist in Tz" if so, I will give u a chance to research that before you deny.
 
sasa km mtu unampelekea maji anawapa mifugo kwanza...alafu njaa inakuuma mbuzi anakufa hta kumchinja hutaki ...mtu unafikiria kununua bunduki ndio upate kuiba mifugo ndio faraja kwao...

lazima waamke bwana..aiiiii...


OMG!! huwa wanafanya hivyo?
 
Man eat man tendency

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…