Kenya kwa hili nimewavulia kofia.

Kenya kwa hili nimewavulia kofia.

Fursakibao

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
6,996
Reaction score
11,887
Wakenya kwa kweli mmenishinda tabia.
Yaani mmeanza kusingizia kuwa tumezuia mvua isije Kenya. Mwisho wa siku matasema hata madeni mliyo nayo tumewasababishia sisi.

Hivi mnajua kuwa hayo yote yanayotokea huko ni laana ya kuhalalisha mtolewe marinda?
Screenshot_20190411-164239.jpeg

God save us
 
Hayo ni masuala ya hali ya hewa sio kwamba Tanzania ndio imesababisha Kenya kukosa mvua. Inawezekana mawingu ya mvua inayonyesha Kenya hutokea upande wa Kusini yaani Tanzania.
Ukisema wanatusingizia kwani sisi tuna nguvu ya kuzuia mawingu ya mvua kwenda Kenya? Fikiria kimbunga kilichoathiri Zumbabwe siku za hivi karibuni kilitokea Msumbiji kwa hiyo kwa mtazamo wako Zimbabwe walipaswa kuwa na bifu na Msumbiji kwa kuwa "waliwatumia kimbunga*
Ebu jaribu kufikiri kama mtu aliyeenda shule mkuu.
 
Kama umeenda shule ilitakiwa uende kwanza kwenye chanzo cha habari usome kwanza koments za wakenya alafu ndio uje kuanda upuuzi ulio andika.

God save us
 
Back
Top Bottom