Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Nchi ya Kenya ni kama vile imeshakamilisha au inakaribia kukamilisha mzunguko wake wa kuharibika!
Nchi hii ilianza vizuri sana, ilikuwa na viwanda vya kutengeneza karibia kila kitu mnambuka Unilever hata TanZania tulikuwa karibia vitu vyote vya matumizi ya nyumbani vilikuwa ni made in Kenya kuna wkt hata Coca Cola tulikuwa tunatoa Kenya!
Lakini hiyo ilikuwa zamani, kama kawaida yetu Waafrika, Wakenya kama vile Wazimbabwe wakaanza kuimong'onyoa nchi yao kipande baada ya kipande leo hii Kenya inamalizia tu siku zake, hivi ninavyoongea Kenya Airways kwishnei!
Shirika ambalo lilianzishwa kwa dhuluma kwani walitaifisha ndege zote za Umoja wa nchi tatu yaani TZ, Uganda na Kenya, walizipora (Wakenya) siku Jumuiya ilivyokufa walizuia ndege zetu zote Nairobi na kuzibadilisha kuwa Kenya Airways sisi ilibidi tuanze moja kununua ndege upya kwa kuchechemea, lkn leo hii Kenya Airways inachechemea na inahitaji fedha, inachofanya isifirisike na kufungwa kabisa na shea za KLM tu, lkn kesho KLM wakiwabwaga Kenya Airways itakuwa Historia!
Mali ya dhuluma siku zote haiishi!
Upande mwingine sisi ambao tumeanzia chini kabisa kwanza kwa kuanza kujenga misingi ya nchi kamili au Taifa sasa ndiyo tunaanza kumea na kushamiri, TanZania hiyooo inachomoza na kumea kwa kasi, Uganda nao hawako mbali sana Museveni anakaribia kujenga Oil refinery kubwa nchini mwake!
Na hapo sijagusia chuki na husuda za wenyewe kwa wenyewe walizonazo watu wa nchi hiyo ya Kenya, uchaguzi ujao mwaka 2017 utakuwa ni patashika, kwani
Raila Odinga & Co. wameshasema kwamba hawatakubali kuibiwa kura na patawaka kwa maana nyingine anasema kwamba ni lazima atangazwe mshindi na haijalishi matokeo halali yatakuwaje kwani kwake yeye hiyo ni namba tu, na wamejipanga kweli kweli kumbomoa Uhuru Kenyata wanam sabotage kwa kila hali, hata hili dili la Bomba la Mafuta wanamfanyia sabotage Uhuru Kenyata tu, hivyo nchi ya Kenya ina wakati mgumu sana mbele, na sioni ni jinsi gani wanaweza kuchomka hapa salama, ikumbukwe kwamba sasa hivi ni Wajaluo ambao wanaona zamu yao ya kutawala imewadia lkn bado kuna wengine pia ambao nao wanaona zamu yao lazime ifike sijui Wakamba na jirani zetu wa Mombasa nao karibia wanadai zamu yao!