Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,518
- 29,669
Kwa hapo hata mimi wamenikera sana kwakweliIngekuwa wanaenda kufanya vandalism kwenye benki au biashara zinazomilikiwa na hao viongoz waliowaibia tungewaona wanafanya jambo jema, lakini kwenda kuiba kwa duka la mtoto wa maskini aliyehangaika kutafuta mtaji kwa maumivu afungue duka ni ujinga tu
Umeandika "Wakenya wanamiliki uchumi wao." 😂😂😂Ukabila ndizo unawatesa , capitalism imewapa prosperity. Wana Dual citizenship, uchumi wao wanamiliki. Sisi uchumi unamilikiwa na kina Rostam, Dewji na GSM. Matajiri wa Tanzania ni wahindi, waarabu na sasa wachina. Wachina wenyewe wamepaogopa Kenya. Kule kuwekeza inabidi ufuate standard ndio maana Hadi kuna branch ya UN wana HQ Kenya. Wachina hawawezi kununua nyumba na kufungua viwanda maeneo ya makazi Nairobi. Ila Dar jirani na nyumbani kwa Hayati Mwinyi kuna kiwanda. Kiufupi wakati Kenya wanaelekea kuwa richest country in East and Central Africa sisi tunaelekea kubwa kama Congo au Zambia.
Kwanini kama ya Marekani na sio itakayoendana na mazingira yetu?Tuwe na katiba kama ya Marekani
Mazingira yenu ni kutawalana kwa mfumo wa machifu, sidhani kama raia wengi wako tayari kukubali kabila moja kuhodhi madaraka yote ya nchi.Kwanini kama ya Marekani na sio itakayoendana na mazingira yetu?
Aliyekuambia Tanzania bado ipo kwenye socialism ni nani?kenya shida ni capitalism inawatesa pamoja
history boss inahukumu, sijasema Tz iko kwenye socialism lkn element za socialism bado zimedhiri shuhuli za kiuchumi na uchumi mpaka sasa, hivyo elements za capitalism zimeadhiri wakenya mpaka sasa.Aliyekuambia Tanzania bado ipo kwenye socialism ni nani?Muwe mnaosoma nyakati
Ndio.Kwa kuchoma ofisi,kuchoma nyumba,maduka na bara bara
Kwani Tanzania ni marekani?Tuwe na katiba kama ya Marekani
Mbona hata sasa ni familia chache tu zinahodhi madarakaMazingira yenu ni kutawalana kwa mfumo wa machifu, sidhani kama raia wengi wako tayari kukubali kabila moja kuhodhi madaraka yote ya nchi.
AiseeeNdio.
wewe acha kudanganya watu, ardhi yavtanzania 99% inamilikiwa na watanzania wenyewekwanza watu wa kawaida sana wasio kuwa hata na uwezo wakilima hayo mashamba, wengi ni tifua tifua na jembe na kukodisha, embu jaribu kukodisha shamba ekar moja tuu hapa kilindi, terat, kiteto kilosa, yaan wazee hawana kitu,wanakukodishia , Sasa wewe unanitajia mchina mhindi( hawa hawamiliki utajiriau uchumi wowote tanzania) ni wafanyabiashara wakuja tuu kila kitu wanajodisha wanafanya biashara wanasepa, hakuna ardh, viwanda au majengo waliowekeza useme wanamiliki uchumi wa watanzania. hawa watatu wazawa tangu uhuru ndio ndio unaangaika nao wakati wanafanya uwekazaji na tunapata ajira. nenda kenya uone jinsi matajiri wachache( 200,000) wanamiliki 95% ya ya ardhi ya kenya wengi viongoz na wazungu-settlersUkabila ndizo unawatesa , capitalism imewapa prosperity. Wana Dual citizenship, uchumi wao wanamiliki. Sisi uchumi unamilikiwa na kina Rostam, Dewji na GSM. Matajiri wa Tanzania ni wahindi, waarabu na sasa wachina. Wachina wenyewe wamepaogopa Kenya. Kule kuwekeza inabidi ufuate standard ndio maana Hadi kuna branch ya UN wana HQ Kenya. Wachina hawawezi kununua nyumba na kufungua viwanda maeneo ya makazi Nairobi. Ila Dar jirani na nyumbani kwa Hayati Mwinyi kuna kiwanda. Kiufupi wakati Kenya wanaelekea kuwa richest country in East and Central Africa sisi tunaelekea kubwa kama Congo au Zambia.
Tulitakiwa kuwa na kigezo cha kuwanyonga mafisadi papa mara baada ya kuanzisha siasa ya kijamaa na kujitegemea mwaka 1967.Au tuwe na katiba kama ya China mafisadi wawe wananyongwa.