Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,761
- 27,488
Bakora tu,Acheni ujinga tunataka katiba mpya
No reform no election
Ukabila ndizo unawatesa , capitalism imewapa prosperity. Wana Dual citizenship, uchumi wao wanamiliki. Sisi uchumi unamilikiwa na kina Rostam, Dewji na GSM. Matajiri wa Tanzania ni wahindi, waarabu na sasa wachina. Wachina wenyewe wamepaogopa Kenya. Kule kuwekeza inabidi ufuate standard ndio maana Hadi kuna branch ya UN wana HQ Kenya. Wachina hawawezi kununua nyumba na kufungua viwanda maeneo ya makazi Nairobi. Ila Dar jirani na nyumbani kwa Hayati Mwinyi kuna kiwanda. Kiufupi wakati Kenya wanaelekea kuwa richest country in East and Central Africa sisi tunaelekea kubwa kama Congo au Zambia.kenya shida ni capitalism inawatesa pamoja na ukabila, matajiri ndio wanamiliki ardhi ya kenya. vijana hawana hata mashamba ya kukodisha, settlers wamemilikishwa ardhi na viwanda. vijana wanaangaika maisha magumu na wako tayar kwa lolote maana hawana cha kupoteza.
Wakenya walimchagua rais wa Kwa haki Kwa katiba yao mpya, (Africa is Africa) kuu practice ustaarabu wa sehemu zingine za dunia ni lazima utatuletea tabu kwanza, better china,walipoletewa,wakau DUMP AWAY!Sidhani kama Wakenya ni wapumbavu kiasi hicho ulichoandika.
Kinachotokea Kenya ni matokeo yakupambana muda, watawala wameachwa nyuma na muda, raia wako mbele ya muda.
Kinachoendelea Kenya nitakuja kutokea Tanzania muda ukifika, ni suala muda tu, hata Tanzania viongozi muda umewaacha wanajaribu kupambana nao na sio kuongeza speed waupite wawe mbele yake, idadi ya raia walio mbele ya muda inadhidi kuongezeka kwa Kasi Tanzania kila kukicha, kuna idadi ikifikia shida lazima itokee.
Tuitumie Kenya kama case study ya kutatua shida zetu Tanzania na sio eneo la propaganda kuhadaa watu wetu.
ndani ya viunga vya Tehrani.
Hizi chambuzi za kijinga hizi hazituhusu! Yaani mnataka tuendelee ka katiba inayosema DED asimamie kura?Nimeitoa huko kwa mdadisi na aliyekuwa mshiriki wa ujenzi wa katiba ya kenya,
::::::::::::::::::::::::::::::
KENYA INATEKETEA KISA KATIBA MPYA: NI FURSA NA SOMO KWA TANZANIA
Ni dhahiri polisi wa kawaida wamezidiwa. Sasa jeshi limelazimika kuingia kupambana na wanaojiita GenZ.
Bahati niliteuliwa kama mshauri Kwa shirikisho la vyama vya wafanyakazi Cha Kenya (COTU -K) anachoongoza Brother Francis Atwoli. Ni wakati wa mchakato wa kutunga kilichoitwa katiba mpya. Wafanyakazi walishirikishwa vya kutosha. Hivyo ITUC na ILO wakanipa kibarua Cha kushauri. Vikao vingi tulifanya pale Mombasa.
Nilipopitia rasimu nilistaajabu kuona mambo ya hovyo ndani ya rasimu. Nitapitia machache:
1. Pendekezo kwamba kima cha chini cha mshahara (minimum living wage) kitamkwe kwenye katiba. Wenyewe wakidhani ni jambo zuri mno mshahara wa kima cha chini kulindwa kikatiba. Niliwaeleza huu ni ujinga. Mshahara ni suala la "econometrics". Sio a political issue.
2. Majaji wasailiwe na wananchi kabla ya kuajiriwa kupitia runinga. Wao wakiamini kuwa itazuia majaji kula rushwa au kuendelea serikali. Niliwaeleza upumbavu uliopo. Kwanza jaji hapimwi Kwa kigezo kimoja tu. Pili itawezekana vipi raia ambaye hata kuhesabu mpaka 5 hawezi amsaili jaji? Je baada ya kumsaili nani ataamua huyu aajiriwe yule ailsiajiriwe? n.k.
3. Uhuru wa kuandamana na kukusanyika usio na masharti. NiliwaelezView attachment 3397462a Nini kitatokea uhuru aina hii ukitolewa na katiba. Ndicho kinatokea Sasa.
4. Kuwe na wabunge wanaowakilisha wafanyakazi. Hili niliwarejesha Kwa Uganda, Tanzania, Cameroon na Cote D'Ivoire. Wafanyakazi huko walikuwa wanadai ubunge huo ufutwe hauwasaidii. Tanzania tulifanikiaa kujiondoa kwenye jumuia za chama na ndio JUWATA ikafa ikaja TFTU, baadae OTTU na Sasa TUCTA. Wafanyakazi walikuja kugundua wawakilishi wao walijali matumbo Yao. Pia ukitoka uamuzi unaowaumiza wanashindwa kupinga Kwa kuwa wawakilishi wao walishiriki kutoa uamuzi.
5. Kuruhusu maofisa na watendaji kushitakiwa binafsi hata wanapofanya kosa wakati wanatekeleza majukumu waliyopewa na katiba. Niliwaambia hii itafanya watumishi wa serikali haswa wa vyombo vya Dola kuzembea. Ndio maana Sasa unaona kisichana kinatikisa makalio mbele ya askari mwenye rungu na bunduki. Watumishi aina hii wanatakiwa waadhibiwe na mahakama ya kijeshi tu.
Nimetaja mifano michache lakini kusema kweli katiba ya Kenya ni mbovu mno na ndio chanzo cha haya machafuko . Wanatuambia ni katiba nzuri tuiige hawajui wasemalo. Nao Wana mawazo na matendo ya kina Shakira, Boniface Mwangi, Martha Karua, Kalonzo na Odinga.
Kuvurugika nchi ndio wanapata maslahi Yao
Tukatae. Tusiichezee katiba. Tusifanye reforms kwa mashinikizo.
Mwisho: nyumba ya jirani ikungua wee Jenga nyingi. Wapangaji wapo. Hakuna mtalii ataenda Kenya sasa. Wawekezaji wanaanza kuhama. Huu ndio muda wetu kuchangamka.
Halafu tuimarishe ulinzi mpakani. Wakimbizi wako njiani wanakuja.
Mwishoooo: tuendelee kudhibiti wakorofi wetu kwa nguvu na ari mpya. Bora walie sasa kuliko kuacha waanze kuchoma majengo na mali za watu
Nakazia tuwachape viboko tu,wanaojibidisha kutupeleka katika majanga ya aina hii,si kila jambo nilakuiga.
UUnabishana na uchambuzi makini,be centered,ondosha akili za lissu kichwani,tafakari kwa kina.Hizi chambuzi za kijinga hizi hazituhusu! Yaani mnataka tuendelee ka katiba inayosema DED asimamie kura?
Ubarikiwe ubarikiwee ubarikiwe na bwana(Mungu baba)Nimeitoa huko kwa mdadisi na aliyekuwa mshiriki wa ujenzi wa katiba ya kenya,
::::::::::::::::::::::::::::::
KENYA INATEKETEA KISA KATIBA MPYA: NI FURSA NA SOMO KWA TANZANIA
Ni dhahiri polisi wa kawaida wamezidiwa. Sasa jeshi limelazimika kuingia kupambana na wanaojiita GenZ.
Bahati niliteuliwa kama mshauri Kwa shirikisho la vyama vya wafanyakazi Cha Kenya (COTU -K) anachoongoza Brother Francis Atwoli. Ni wakati wa mchakato wa kutunga kilichoitwa katiba mpya. Wafanyakazi walishirikishwa vya kutosha. Hivyo ITUC na ILO wakanipa kibarua Cha kushauri. Vikao vingi tulifanya pale Mombasa.
Nilipopitia rasimu nilistaajabu kuona mambo ya hovyo ndani ya rasimu. Nitapitia machache:
1. Pendekezo kwamba kima cha chini cha mshahara (minimum living wage) kitamkwe kwenye katiba. Wenyewe wakidhani ni jambo zuri mno mshahara wa kima cha chini kulindwa kikatiba. Niliwaeleza huu ni ujinga. Mshahara ni suala la "econometrics". Sio a political issue.
2. Majaji wasailiwe na wananchi kabla ya kuajiriwa kupitia runinga. Wao wakiamini kuwa itazuia majaji kula rushwa au kuendelea serikali. Niliwaeleza upumbavu uliopo. Kwanza jaji hapimwi Kwa kigezo kimoja tu. Pili itawezekana vipi raia ambaye hata kuhesabu mpaka 5 hawezi amsaili jaji? Je baada ya kumsaili nani ataamua huyu aajiriwe yule ailsiajiriwe? n.k.
3. Uhuru wa kuandamana na kukusanyika usio na masharti. NiliwaelezView attachment 3397462a Nini kitatokea uhuru aina hii ukitolewa na katiba. Ndicho kinatokea Sasa.
4. Kuwe na wabunge wanaowakilisha wafanyakazi. Hili niliwarejesha Kwa Uganda, Tanzania, Cameroon na Cote D'Ivoire. Wafanyakazi huko walikuwa wanadai ubunge huo ufutwe hauwasaidii. Tanzania tulifanikiaa kujiondoa kwenye jumuia za chama na ndio JUWATA ikafa ikaja TFTU, baadae OTTU na Sasa TUCTA. Wafanyakazi walikuja kugundua wawakilishi wao walijali matumbo Yao. Pia ukitoka uamuzi unaowaumiza wanashindwa kupinga Kwa kuwa wawakilishi wao walishiriki kutoa uamuzi.
5. Kuruhusu maofisa na watendaji kushitakiwa binafsi hata wanapofanya kosa wakati wanatekeleza majukumu waliyopewa na katiba. Niliwaambia hii itafanya watumishi wa serikali haswa wa vyombo vya Dola kuzembea. Ndio maana Sasa unaona kisichana kinatikisa makalio mbele ya askari mwenye rungu na bunduki. Watumishi aina hii wanatakiwa waadhibiwe na mahakama ya kijeshi tu.
Nimetaja mifano michache lakini kusema kweli katiba ya Kenya ni mbovu mno na ndio chanzo cha haya machafuko . Wanatuambia ni katiba nzuri tuiige hawajui wasemalo. Nao Wana mawazo na matendo ya kina Shakira, Boniface Mwangi, Martha Karua, Kalonzo na Odinga.
Kuvurugika nchi ndio wanapata maslahi Yao
Tukatae. Tusiichezee katiba. Tusifanye reforms kwa mashinikizo.
Mwisho: nyumba ya jirani ikungua wee Jenga nyingi. Wapangaji wapo. Hakuna mtalii ataenda Kenya sasa. Wawekezaji wanaanza kuhama. Huu ndio muda wetu kuchangamka.
Halafu tuimarishe ulinzi mpakani. Wakimbizi wako njiani wanakuja.
Mwishoooo: tuendelee kudhibiti wakorofi wetu kwa nguvu na ari mpya. Bora walie sasa kuliko kuacha waanze kuchoma majengo na mali za watu
Nakazia tuwachape viboko tu,wanaojibidisha kutupeleka katika majanga ya aina hii,si kila jambo nilakuiga.
OKTOBA TUNATIKI. Hiyo katiba katengeneze ya kwako na mkeoAcheni ujinga tunataka katiba mpya
No reform no election
Hiyo safi ila babaa CCM hawawezi kutuletee mikono yao ni michafu.Au tuwe na katiba kama ya China mafisadi wawe wananyongwa.
Siyo ndio matatizo ya katiba yao? Kwetu ardhi ni mali ya umma ikisimamiwa na Rais wa nchikenya shida ni capitalism inawatesa pamoja na ukabila, matajiri ndio wanamiliki ardhi ya kenya. vijana hawana hata mashamba ya kukodisha, settlers wamemilikishwa ardhi na viwanda. vijana wanaangaika maisha magumu na wako tayar kwa lolote maana hawana cha kupoteza.
Mtasema sana. Kenya wananchi wana nguvu ya kuwawajibisha wajinga kama nyie walioko madarakani.Nimeitoa huko kwa mdadisi na aliyekuwa mshiriki wa ujenzi wa katiba ya kenya,
::::::::::::::::::::::::::::::
KENYA INATEKETEA KISA KATIBA MPYA: NI FURSA NA SOMO KWA TANZANIA
Ni dhahiri polisi wa kawaida wamezidiwa. Sasa jeshi limelazimika kuingia kupambana na wanaojiita GenZ.
Bahati niliteuliwa kama mshauri Kwa shirikisho la vyama vya wafanyakazi Cha Kenya (COTU -K) anachoongoza Brother Francis Atwoli. Ni wakati wa mchakato wa kutunga kilichoitwa katiba mpya. Wafanyakazi walishirikishwa vya kutosha. Hivyo ITUC na ILO wakanipa kibarua Cha kushauri. Vikao vingi tulifanya pale Mombasa.
Nilipopitia rasimu nilistaajabu kuona mambo ya hovyo ndani ya rasimu. Nitapitia machache:
1. Pendekezo kwamba kima cha chini cha mshahara (minimum living wage) kitamkwe kwenye katiba. Wenyewe wakidhani ni jambo zuri mno mshahara wa kima cha chini kulindwa kikatiba. Niliwaeleza huu ni ujinga. Mshahara ni suala la "econometrics". Sio a political issue.
2. Majaji wasailiwe na wananchi kabla ya kuajiriwa kupitia runinga. Wao wakiamini kuwa itazuia majaji kula rushwa au kuendelea serikali. Niliwaeleza upumbavu uliopo. Kwanza jaji hapimwi Kwa kigezo kimoja tu. Pili itawezekana vipi raia ambaye hata kuhesabu mpaka 5 hawezi amsaili jaji? Je baada ya kumsaili nani ataamua huyu aajiriwe yule ailsiajiriwe? n.k.
3. Uhuru wa kuandamana na kukusanyika usio na masharti. NiliwaelezView attachment 3397462a Nini kitatokea uhuru aina hii ukitolewa na katiba. Ndicho kinatokea Sasa.
4. Kuwe na wabunge wanaowakilisha wafanyakazi. Hili niliwarejesha Kwa Uganda, Tanzania, Cameroon na Cote D'Ivoire. Wafanyakazi huko walikuwa wanadai ubunge huo ufutwe hauwasaidii. Tanzania tulifanikiaa kujiondoa kwenye jumuia za chama na ndio JUWATA ikafa ikaja TFTU, baadae OTTU na Sasa TUCTA. Wafanyakazi walikuja kugundua wawakilishi wao walijali matumbo Yao. Pia ukitoka uamuzi unaowaumiza wanashindwa kupinga Kwa kuwa wawakilishi wao walishiriki kutoa uamuzi.
5. Kuruhusu maofisa na watendaji kushitakiwa binafsi hata wanapofanya kosa wakati wanatekeleza majukumu waliyopewa na katiba. Niliwaambia hii itafanya watumishi wa serikali haswa wa vyombo vya Dola kuzembea. Ndio maana Sasa unaona kisichana kinatikisa makalio mbele ya askari mwenye rungu na bunduki. Watumishi aina hii wanatakiwa waadhibiwe na mahakama ya kijeshi tu.
Nimetaja mifano michache lakini kusema kweli katiba ya Kenya ni mbovu mno na ndio chanzo cha haya machafuko . Wanatuambia ni katiba nzuri tuiige hawajui wasemalo. Nao Wana mawazo na matendo ya kina Shakira, Boniface Mwangi, Martha Karua, Kalonzo na Odinga.
Kuvurugika nchi ndio wanapata maslahi Yao
Tukatae. Tusiichezee katiba. Tusifanye reforms kwa mashinikizo.
Mwisho: nyumba ya jirani ikungua wee Jenga nyingi. Wapangaji wapo. Hakuna mtalii ataenda Kenya sasa. Wawekezaji wanaanza kuhama. Huu ndio muda wetu kuchangamka.
Halafu tuimarishe ulinzi mpakani. Wakimbizi wako njiani wanakuja.
Mwishoooo: tuendelee kudhibiti wakorofi wetu kwa nguvu na ari mpya. Bora walie sasa kuliko kuacha waanze kuchoma majengo na mali za watu
Nakazia tuwachape viboko tu,wanaojibidisha kutupeleka katika majanga ya aina hii,si kila jambo nilakuiga.
Damu ya nani imwagike? Kenge we kamwage ya kwako. Pumbav kwlTupate kwanza hyo katiba mpya tuone itakuwajee acheni siasa enyi CCM ..WATANZANIA mbona wapole tu ,,,Msifanye damu imwagike kisa katiba wakati uwezo wakuwapa wananchi wenu wananchokitaka upo
View attachment 3397473