Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania. Should this necessarily be "quid pro quo"?

chadema kwa mara nyingine sera na ilani walichopanga kusema tayari Rais Samia ameshafanya na anatarajia kufanya makubwa zaidi.
Jambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Samia ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu. Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa yakang'olewe mazalia na mabakibaki ya mafisadi popote yalikobakia.
 
Bwana mkubwa Mbowe kama unapita hapa nakuomba ikiwezekana tembea kwa magoti hadi chamwino ukaombe radhi kwa Rais Samia la sivyo mtakufa tu mtakuwa mmekaidi sauti ya Mungu.
 
Bwana mkubwa Mbowe kama unapita hapa nakuomba ikiwezekana tembea kwa magoti hadi chamwino ukaombe radhi kwa Rais Samia la sivyo mtakufa tu mtakuwa mmekaidi sauti ya Mungu.
Chama changu cha CCM chini ya Rais Samia kipo busy kujenga Nchi ila vyama vingine vinashindana kuhutubia Facebook.
 
Utafiti umefanyika Samia anakubalika kwa zaidi ya 90% Ccm inakubalika kwa 70% Hii inamaanisha kuwa Rais Samia kwa uchapakazi wake amevuta watu wengi sana kujiunga na Ccm.
Mafisadi wa CHADEMA wana hofu ya kushindwa na Rais mama Samia. Wanajua Rais Samia lazima awashughulikie ndio maana hawataki apambane naye.
 
Back
Top Bottom