Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
- Thread starter
- #561
mhhhPersonality mtanzania vs mkenya = TZ 0
But
Taifa la Tanzania vs Taifa la Kenya = Tanzania anashinda
mhhhPersonality mtanzania vs mkenya = TZ 0
But
Taifa la Tanzania vs Taifa la Kenya = Tanzania anashinda
Kipindi ndugu Magufuli alipokuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar alijitahidi Sana kuwekeza kwenye miundombinu hasa katika Jiji la DSM sahau kidogo kuhusu mikia mingine.mhhh
Nakubaliana kwa kiasi kikubwa cha hoja yako, na pia nimeliona hili la Uganda Tanga bomba la mafuta nilipoona wanaharakati za kimazingira wa Kenya kule Paris wanaandamana kupinga bomba hilo kujengwa mara linaibukia bunge la Ulaya mara sarakasi hizi. Nimefurahi sana msimamo wa Rias Museveni ila sijasikia serikali ya TZ inalishuhulikiaje jambo hili hii ni vita vya kiuchumi ila TZ tuamke. Kenya hinks they are smarter than us. Rais Mama yetu Samia should understand this.Mwaka juzi wa 2019 Mwezi November, JF Member My Son drink water aliwahi kusema kwamba "Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania, nashukuru Mungu tena dakika za mwisho TISS walistukia mchezo vinginevyo VodaCom nayo ilikuwa inakufa na ingekuja kufufukia Kenya"
==========
==========
Habari zenu waungwana wa jamiiforums
SEPTEMBER 28, 2018: Vodacom Tanzania said on Friday the government had denied its incoming chief executive officer, a Kenyan, a work permit, and it would have to restart the recruitment process.
In April, Vodacom Tanzania named Sylvia Mulinge, at the time head of business at Kenya's biggest telecoms operator Safaricom to the post. She was meant to take up her position on June 1.
==========
==========
HOJA YANGU: Kwani kama mtu alikuchangia USD 300 katika maandalizi ya harusi yako ni lazima na wewe umpe kiasi hicho hicho cha pesa yeye atakapokuwa anajiandaa kuoa/kuolewa?
Kwani kitendo cha Rais Uhuru Kenyatta kufuta work permits pamoja na Business Visas ni lazima kiwe nipe nikupe (quid pro quo) kwa taifa kubwa la Tanzania? Kuna ulazima wowote wa Tanzania nayo kufuta vibali hivyo kwa raia wa Kenya?
==========
==========
Baada ya Rais Kenyatta kufuta documents kwa wafanyakazi wa Tanzania ndio ninakumbuka maneno yaliyopo humu humu JF ya member mmoja anayetumia jina la My Son drink water kwamba;
"65% ya viwanda vilivyokufa Tanzania vilikuja kufufukia Kenya, tafsiri yake ni kwamba, Usalama wa Taifa wa Kenya, KNIA walifanya yao huku TISS yetu ikiwa imelala, na Kiwanda cha mwisho kuhamia Kenya ni cha General Tyres, yaani ajira zinakufa Tanzania kisha zinawafufukia Wakenya. Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania, nashukuru Mungu tena dakika za mwisho TISS walistukia mchezo vinginevyo VodaCom nayo ilikuwa inakufa na ingekuja kufufukia Kenya"
==========
View attachment 1778801
==========
SWALI: Tutegemee "Sylvia Mulinge" wa Safaricom kurudi kuwa CEO wa Vodacom endapo Tanzania itafuta work permits pamoja na Business Visas kwa raia wa Kenya?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
mhhhUsalama wapo bize na wapinzani. Akili yao imeishia hapo
Hayati alipambana sana kuhusu ili bomba na nakumbuka SHOW,hayati aliyowafanyia Wakenya pale TANGA siku ya majadiliano ya kusaini mkataba.Nakubaliana kwa kiasi kikubwa cha hoja yako, na pia nimeliona hili la Uganda Tanga bomba la mafuta nilipoona wanaharakati za kimazingira wa Kenya kule Paris wanaandamana kupinga bomba hilo kujengwa mara linaibukia bunge la Ulaya mara sarakasi hizi. Nimefurahi sana msimamo wa Rias Museveni ila sijasikia serikali ya TZ inalishuhulikiaje jambo hili hii ni vita vya kiuchumi ila TZ tuamke. Kenya hinks they are smarter than us. Rais Mama yetu Samia should understand this.
Safi sana mkuuHayati alipambana sana kuhusu ili bomba na nakumbuka SHOW,hayati aliyowafanyia Wakenya pale TANGA siku ya majadiliano ya kusaini mkataba.
Kwenye hivyo nilivyovitaja kipi kimebadilika au kurekebishwa?Aliyekuwa akikwamisha biashara hayupo sasa ni miaka miwili sasa, Kuna kiwanda kipya kipi kimejengwa?
Sawa. Ila ni mzunguko mrefu sana mkuuHuku Tarime/Musoma raha sana, tukitaka kuja DSM tuna katisha Nairobi tu pyaaa!
Lkn hauchoshi! km ule mzunguko wa Mwanza/Dsm! siku hizi ki-usalama lazima mlale njiani ! mfano zamani kidogo ukiondoka, alfajili DSM utafika Mwanza saa sita usiku! hapo lazima ulale Mwanza ili uanze safari kesho yake!Sawa. Ila ni mzunguko mrefu sana mkuu
Sawa mkuuLkn hauchoshi! km ule mzunguko wa Mwanza/Dsm! siku hizi ki-usalama lazima mlale njiani ! mfano zamani kidogo ukiondoka, alfajili DSM utafika Mwanza saa sita usiku! hapo lazima ulale Mwanza ili uanze safari kesho yake!
Lkn ukitoka DSM na Akamba alfajili, via Nairobi utaenda moja kwa moja mpaka Sirari au Tarime kabisa hapo si umefika home! kenya rukhsa kusafiri usiku ni salama sana! utakula utakunywa vizuri!usiku km mchana!
safari zote hizi ziko umbali sawa! ile lutoka DSM to Nairobi via Arusha ndo sawa na umbali uleule wa kutokea shinyanga kwenda Musoma!
Umbali wakutoka DSM toTabora! ni sambamba kabisa na kutoka Nairobi to Sirari! ila ule wa kenya ni uhakika faster na salama na raha zaidi! hkn wasiwasi! km mkipata dharula njiani haichukui nusu saa gari nyingine hilooo faster tu!
Ma Bus ya Bongo uswahili! swahili na ujanja mwingii!!......abood huyohuyo!! ukienda kata ticket watakwambia wanaenda LKN umeliwa! hawaendi!...labda km wamebadirika!
Akikujibu, please tag meKwenye hivyo nilivyovitaja kipi kimebadilika au kurekebishwa?
Siongelei kuwepo/kutokuwepo kwa mtu fulani.
MhhhSwadakta kabisa mkuu, kinachoigharimu Tz yetu ni mifumo ya hovyo na ujanja² wa kiswahili. Mtoa mada + MATAGA wanahangaika sana kulinda legacy ya Jiwe, hawataki kusema ukweli kwamba uchumi wa Tz kudorora ni matokeo ya;
Hamna cha ujasusi wala nini.
- Sheria kandamizi
- siasa chafu
- ulimbukeni wa viongozi
- visasi
- wivu wa kitoto kwa wenzetu n.k n.k
Wale jamaa ni wajanja wajanja sanaNakubaliana kwa kiasi kikubwa cha hoja yako, na pia nimeliona hili la Uganda Tanga bomba la mafuta nilipoona wanaharakati za kimazingira wa Kenya kule Paris wanaandamana kupinga bomba hilo kujengwa mara linaibukia bunge la Ulaya mara sarakasi hizi. Nimefurahi sana msimamo wa Rias Museveni ila sijasikia serikali ya TZ inalishuhulikiaje jambo hili hii ni vita vya kiuchumi ila TZ tuamke. Kenya hinks they are smarter than us. Rais Mama yetu Samia should understand this.
Wanaolipwa mishahara ili kutimiza azma ya kulisaidia Taifa badala ya kudeal na ujasusi wa kiuchumi wao wana deal na wapinzani inafikirisha inahuzunisha hadi unajiuliza kwanini wasiombe msaada bila malipo kwa Watanzania wazalendo wenye uwezo kielemu ikiwa wao wameshindwa.Mwaka juzi wa 2019 Mwezi November, JF Member My Son drink water aliwahi kusema kwamba "Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania, nashukuru Mungu tena dakika za mwisho TISS walistukia mchezo vinginevyo VodaCom nayo ilikuwa inakufa na ingekuja kufufukia Kenya"
==========
==========
Habari zenu waungwana wa jamiiforums
SEPTEMBER 28, 2018: Vodacom Tanzania said on Friday the government had denied its incoming chief executive officer, a Kenyan, a work permit, and it would have to restart the recruitment process.
In April, Vodacom Tanzania named Sylvia Mulinge, at the time head of business at Kenya's biggest telecoms operator Safaricom to the post. She was meant to take up her position on June 1.
==========
==========
HOJA YANGU: Kwani kama mtu alikuchangia USD 300 katika maandalizi ya harusi yako ni lazima na wewe umpe kiasi hicho hicho cha pesa yeye atakapokuwa anajiandaa kuoa/kuolewa?
Kwani kitendo cha Rais Uhuru Kenyatta kufuta work permits pamoja na Business Visas ni lazima kiwe nipe nikupe (quid pro quo) kwa taifa kubwa la Tanzania? Kuna ulazima wowote wa Tanzania nayo kufuta vibali hivyo kwa raia wa Kenya?
==========
==========
Baada ya Rais Kenyatta kufuta documents kwa wafanyakazi wa Tanzania ndio ninakumbuka maneno yaliyopo humu humu JF ya member mmoja anayetumia jina la My Son drink water kwamba;
"65% ya viwanda vilivyokufa Tanzania vilikuja kufufukia Kenya, tafsiri yake ni kwamba, Usalama wa Taifa wa Kenya, KNIA walifanya yao huku TISS yetu ikiwa imelala, na Kiwanda cha mwisho kuhamia Kenya ni cha General Tyres, yaani ajira zinakufa Tanzania kisha zinawafufukia Wakenya. Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania, nashukuru Mungu tena dakika za mwisho TISS walistukia mchezo vinginevyo VodaCom nayo ilikuwa inakufa na ingekuja kufufukia Kenya"
==========
View attachment 1778801
==========
SWALI: Tutegemee "Sylvia Mulinge" wa Safaricom kurudi kuwa CEO wa Vodacom endapo Tanzania itafuta work permits pamoja na Business Visas kwa raia wa Kenya?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Hatari sana mkuuWanaolipwa mishahara ili kutimiza azma ya kulisaidia Taifa badala ya kudeal na ujasusi wa kiuchumi wao wana deal na wapinzani inafikirisha inahuzunisha hadi unajiuliza kwanini wasiombe msaada bila malipo kwa Watanzania wazalendo wenye uwezo kielemu ikiwa wao wameshindwa.