joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Kenya election 2022
Tanzania Election 2020. Almost a month to go
Tanzania Election 2020. Almost a month to go
Hakuna Mkenya anayetumia akili yake kuanzia sasa hivi, akili zote wameshikiwa na viongozi wa makabila yao, watarudishiwa baada ya Uchaguzi kupita 2022, ndio utaanza wanaanza kulalamikia rushwa na ukabila.Hahaha hustlers vs dynasties.
Round hii mambo yatakuwa mabaya sana. Na hivi wanaanza kuyachochea mapema bhas ni kuzikusanya hasira tu.
Nyani haoni kundule kweli. Nani hajui nyie maccm mnavyoabudu baba yenu Magufuli.Nchi mzima imebaki kuwa ya Wasukuma tu. Ata kwenye thread hapa tunaona jinsi wasukuma wameshikana kutetea uyo udikteta.Hakuna mkenya anayetumia akili yake kuanzia sasa hivi, akili zote wameshikiwa na viongozi wa makabila yao, watarudishiwa baada ya Uchaguzi kupita 2022, ndio utaanza wanaanza kulalamikia rushwa na ukabila.
Taja mawaziri watatu ambao ni wasukumua mimi nitakutajia mawaziri Ishirini wakikuyuNyani haoni kundule kweli.Nani hajui nyie maccm mnavyoabudu baba yenu Magufuli.Nchi mzima imebaki kuwa ya Wasukuma tu.Ata kwenye thread hapa tunaona jinsi wasukuma wameshikana kutetea uyo udikteta
Ana maanisha wote wanaomkubali JPM ni wasukuma!Taja mawaziri watatu ambao ni wasukumua mimi nitakutajia mawaziri Ishirini wakikuyu
Hapa Tundu Lisu yupo Geita, nyumbani kwa Magufuli, Raila anaweza kupokelewa hivi kwa Wakalenjin?.Nyani haoni kundule kweli.Nani hajui nyie maccm mnavyoabudu baba yenu Magufuli.Nchi mzima imebaki kuwa ya Wasukuma tu.Ata kwenye thread hapa tunaona jinsi wasukuma wameshikana kutetea uyo udikteta
Sisi hatuna ukabila, hapa wasukuma wanamkataa Magufuli hadharani, hapa ni Nyumbani kwa MagufuliNyani haoni kundule kweli.Nani hajui nyie maccm mnavyoabudu baba yenu Magufuli.Nchi mzima imebaki kuwa ya Wasukuma tu.Ata kwenye thread hapa tunaona jinsi wasukuma wameshikana kutetea uyo udikteta
BitekoTaja mawaziri watatu ambao ni wasukumua mimi nitakutajia mawaziri Ishirini wakikuyu
Sisi hatuna ukabila, hapa wasukuma wanamkataa Magufuli hadharani, hapa ni Nyumbani kwa Magufuli
Sina uhakika na Kalemani, japo ametokea Chato lakini ni Mzinza sio Msukuma.Biteko
Kalemani
Mpina
Hiyo ni kukuonyesha kwamba sisi hatuna Nepotism, ingekua Kenya rais angewapendelea watu wake.Wananchiii wa nyumbani wamechakaa,wanakaa tu Mashida.
Kalemani ni msukuma, labda kama unamaanisha huna uhakika na hao mawaziri 20 wakikuyu.Sina uhakika na Kalemani, japo ametokea Chato lakini ni Mzinza sio Msukuma.
Kwahiyo mnasubiri niwataje wakikuyu ambao ni mawaziri au niache itakua ni aibu?
Una uhakika gani kama Kalemani ni Msukuma?, sina uhakika na hilo kwasababu jina lake la ukoo la "Matogolo" linamuelekeza kwenye kabila la wazinza zaidi kuliko wasukuma.Kalemani ni msukuma, labda kama unamaanisha huna uhakika na hao mawaziri 20 wakikuyu.
Haya umetajiwa mawaziri watatu wasukuma basi nawe taja mawaziri 20 wakikuyu
Kalemani ni mtu wa chato mzinza na c msukumaUna uhakika gani kama Kalemani ni Msukuma?, sina uhakika na hilo kwasababu jina lake la ukoo la "Matogolo" linamuelekeza kwenye kabila la wazinza zaidi kuliko wasukuma.
Na ndio vizuri, kama unataka siasa 24/7 hamia KenyaChaguzi za Kenya huwa ni Moto sana Kampeni inafanyika miaka mitano, sisi hapa tunafanya Coronation wao wanafanya Election.
Nani kakuambia Magufuli ni msukuma?Nyani haoni kundule kweli. Nani hajui nyie maccm mnavyoabudu baba yenu Magufuli.Nchi mzima imebaki kuwa ya Wasukuma tu. Ata kwenye thread hapa tunaona jinsi wasukuma wameshikana kutetea uyo udikteta.