Kenya election 2022 vs Tanzania election October 2020

Hahaha hustlers vs dynasties.

Round hii mambo yatakuwa mabaya sana. Na hivi wanaanza kuyachochea mapema bhas ni kuzikusanya hasira tu.
Hakuna Mkenya anayetumia akili yake kuanzia sasa hivi, akili zote wameshikiwa na viongozi wa makabila yao, watarudishiwa baada ya Uchaguzi kupita 2022, ndio utaanza wanaanza kulalamikia rushwa na ukabila.
 
Hakuna mkenya anayetumia akili yake kuanzia sasa hivi, akili zote wameshikiwa na viongozi wa makabila yao, watarudishiwa baada ya Uchaguzi kupita 2022, ndio utaanza wanaanza kulalamikia rushwa na ukabila.
Nyani haoni kundule kweli. Nani hajui nyie maccm mnavyoabudu baba yenu Magufuli.Nchi mzima imebaki kuwa ya Wasukuma tu. Ata kwenye thread hapa tunaona jinsi wasukuma wameshikana kutetea uyo udikteta.
 
Nyani haoni kundule kweli.Nani hajui nyie maccm mnavyoabudu baba yenu Magufuli.Nchi mzima imebaki kuwa ya Wasukuma tu.Ata kwenye thread hapa tunaona jinsi wasukuma wameshikana kutetea uyo udikteta
Hapa Tundu Lisu yupo Geita, nyumbani kwa Magufuli, Raila anaweza kupokelewa hivi kwa Wakalenjin?.
 
Nyani haoni kundule kweli.Nani hajui nyie maccm mnavyoabudu baba yenu Magufuli.Nchi mzima imebaki kuwa ya Wasukuma tu.Ata kwenye thread hapa tunaona jinsi wasukuma wameshikana kutetea uyo udikteta
Sisi hatuna ukabila, hapa wasukuma wanamkataa Magufuli hadharani, hapa ni Nyumbani kwa Magufuli
 
Sina uhakika na Kalemani, japo ametokea Chato lakini ni Mzinza sio Msukuma.
Kwahiyo mnasubiri niwataje wakikuyu ambao ni mawaziri au niache itakua ni aibu?
Kalemani ni msukuma, labda kama unamaanisha huna uhakika na hao mawaziri 20 wakikuyu.
Haya umetajiwa mawaziri watatu wasukuma basi nawe taja mawaziri 20 wakikuyu
 
Kalemani ni msukuma, labda kama unamaanisha huna uhakika na hao mawaziri 20 wakikuyu.
Haya umetajiwa mawaziri watatu wasukuma basi nawe taja mawaziri 20 wakikuyu
Una uhakika gani kama Kalemani ni Msukuma?, sina uhakika na hilo kwasababu jina lake la ukoo la "Matogolo" linamuelekeza kwenye kabila la wazinza zaidi kuliko wasukuma.
 
Chaguzi za Kenya huwa ni Moto sana Kampeni inafanyika miaka mitano, sisi hapa tunafanya Coronation wao wanafanya Election.
 
Nyani haoni kundule kweli. Nani hajui nyie maccm mnavyoabudu baba yenu Magufuli.Nchi mzima imebaki kuwa ya Wasukuma tu. Ata kwenye thread hapa tunaona jinsi wasukuma wameshikana kutetea uyo udikteta.
Nani kakuambia Magufuli ni msukuma?
 
Back
Top Bottom