Kenya election 2022 vs Tanzania election October 2020

Ei0SWdYX0AAPiS6
 
Una uhakika gani kama Kalemani ni Msukuma?, sina uhakika na hilo kwasababu jina lake la ukoo la "Matogolo" linamuelekeza kwenye kabila la wazinza zaidi kuliko wasukuma.
Wazazi wake ni wasukuma na kazaliwa usukumani, lete hao wakikuyu 20 blah! blah! haisaidii
 
Wazazi wake ni wasukuma na kazaliwa usukumani, lete hao wakikuyu 20 blah! blah! haisaidii
Kalemani ni mzinza sio msukuma, kuzaliwa Dar es salaam haina maana ni mzaramo, lete majina matatu ya wasukuma katika baraza la mawaziri kwanza.
 
Back
Top Bottom