Kenyan-Tanzanian
JF-Expert Member
- Nov 7, 2006
- 302
- 2
Kenyan-Tanzania uko wapi na matokeo?
Bora utuambie kinachoendelea maana kadri navyosoma anachoandika hapo juu mwendapole nashindwa kuamini kama nasoma JF au gazeti la uhuru na kusikiliza redio tanzania vile!
Katika threads zako kabla ya hili umefanya exactly what you say hufanyi. Unachukua sana standard ya juu mapema hivyo. Soma tena ulichoandika hapa uone vile uko cheap na ubishi unaouita wa kijinga!
Mbona kazi unayo! Hapa unapata exactly what you do, ukileta pumba utapata pumba na ukiwa na point zipo tu za kumwaga pia na subira tu ndiyo itaamua kama nitalost au nitakuwa nimejaa tele hapa JF kwa miaka mingi sana ijayo as longer as niko alive na JF iko hewani.
MUJIBU:KTN
SAA: 10.30PM
KURA ZA KITAIFA
1. Raila - 3 557,085
2. Kibaki - 2,969,084
MIKOANI:
1. WESTERN PROVINCE: TOTAL NUMBER OF VOTES: 1, 564, 854 Mill.
a) Raila - 614, 079
b) Kibaki - 249, 255
2. EASTERN PROVINCE: TOTAL NUMBER OF VOTES: 2,388, 765 Mill.
a) Raila - 305, 737
b) Kibaki - 441, 806
3. NORTH EASTERN PROVINCE: TOTAL NUMBER OF VOTES: 315, 664
a) Raila - 64, 704
b) Kibaki - 58,808
4. NYANZA PROVINCE: TOTAL NUMBER OF VOTES: 2, 041, 686 Mill.
a) Raila - 1, 115, 338
b) Kibaki - 14, 2750
5. CENTRAL PROVINCE: TOTAL NUMBER OF VOTES: 2,186, 315 Mill.
a) Raila - 7, 079
b) Kibaki - 1, 329,914
6. RIFT VALLEY PROVINCE: TOTAL NUMBER OF VOTES: 3, 358, 285 Mill.
a) Raila - 1, 258, 671
b) Kibaki - 601, 390
7. COAST: TOTAL NUMBER OF VOTES: 1, 178, 319 Mill.
a) Raila - 205, 048
b) Kibaki - 115, 669
Nairobi haijawekwa kwenye release hii. Tusubiri.
______________________________
1. Tokea sasa nitapost tu results za Kbaki na Raila.
2. Bado kuna kura nyingi za raila huko kwao Nyanza na hata pia za Kbaki huko kwao Central. Alafu pia kuna kura nyingi za Raila huko Rift Valley kama mnavyoona kwa hizi results hapo juu. Alaf Eastern pia inaweza mpatia Kibaki kura zaidi kwasababu bado nyingi eneo hilo.
3. Rais Kibaki sasa ameanza kusonga mbele na anamkaribia Raila sana.
4. Hii itakuwa uchaguzi wa karibu sana. Mshindi anaeza mshinda mwenzake kwa kura kama 200, 000.
Polepole dadangu utanivunja mbavu, kwamba unasikiliza RTD au unasoma UHURU sina mbavu mwenzako!
Hii itakuwa uchaguzi wa karibu sana. Mshindi anaeza mshinda mwenzake kwa kura kama 200, 000.
Mwafrika wa kike!
Kama una BWANA amekuoa namwonea sana huruma- maaana unamburuza na kumziba mdomo kisawasawa!
Mara ingine akina dada kama Mwafrika wa Kike huwa hawaolewi! huwa tu senior sisters! Na kuzaa tu mtoto na Mme wa mtu basi!
Hii ndo hali halisi!
Mwafrika wa kike!
Kama una BWANA amekuoa namwonea sana huruma- maaana unamburuza na kumziba mdomo kisawasawa!
Mara ingine akina dada kama Mwafrika wa Kike huwa hawaolewi! huwa tu senior sisters! Na kuzaa tu mtoto na Mme wa mtu basi!
Hii ndo hali halisi!
Tatizo tu ni ukabila. Lakini huku kwetu pia watu wanapiga kura kwa ukabila. Kumbukeni mwaka 1995 Mrema alibeba kura zote za Chagaland ie 87%. Mkapa nae huko Mtwara it was to the last man. Cheyo alipata kura za kutosha Lake Zone.
Nadhani inabidi kurithink political strategies zetu. Inawezekana kabisa kuitoa CCM. Kama hatutaitoa tunaweza kuwa na wabunge wengi zaidi ya CCM na kisha kuwa na Waziri Mkuu. Inawezekana!
Ni kweli kabisa. Napata wasiwasi kuwa Kibaki atashinda, kwa ukweli au kurig. Upper Eastern kura zikianza kuripotiwa itakata gap hii. Hata hivyo sisi tunaotaka mabadiliko ya kweli na uhuru wa kweli kwa wakenya tunacross our fingers ili Agwambo ashinde.
HIvi Kibaki na Raila wame satisfy requirement ya kupata 5 per cent ya kura zote kwa kila jimbo tayari?
Kama sikosei ni 25% ya vote katika majimbo matano (niko tayari kusahihishwa kwa hili), zitto au K-Tanzania mnajua hili?
Haya hii hapa ya Joe Nyagah wa ODM huko Gachoka, mkoa wa Eastern
1.AMEPOTEZA HICHO KITI KWA PASTA MUTAVA MUSYIMI WA PNU. NILIVOSEMA AWALI HANGEKUWA NA CHANCE NZURI JILI AKILKO HUKO NI NGOME YA KIBAKI. YEYE NDIYE KIGOGO WA ODM PEKEE AMBAYE WAJULIKANAO KAMA THE ODM PENTAGON KUANGUKA KURA.(Raila, Rutto, Ngilu, Mudavadi, Balala ndio wengine memba wa organ hio kuu zaidi ya chama cha ODM).
2. WAMPENDAO MSIWE NA WASIWASI NAWAHAKIKISHIA KABISA KWAMBA HUYU TAYARI ATAPATA SITI YA BUNGE KAMA NOMINATED MP.
NATIONAL VOTE
MUJIB: KTN
SAA: 11.11PM
MAENEO BUNGE 124 Zimeshahesabiwa. Jumla kuna maeneo bunge 210.
1. Raila Odinga - 3, 571, 158 Mill.
2. Kibaki Mwai - 3, 043, 921 Mill.
Wakuu: Kibaki ameamuka sasa na anakuja kwa kasi za farasi!
NATIONAL VOTE
MUJIB: KTN
SAA: 11.11PM
MAENEO BUNGE 124 Zimeshahesabiwa. Jumla kuna maeneo bunge 210. Tunasubiri kura za constituencies 86.
1. Raila Odinga - 3, 571, 158 Mill.
2. Kibaki Mwai - 3, 043, 921 Mill.
Wakuu: Kibaki ameamuka sasa na anakuja kwa kasi za farasi!
Mwafrika wa kike!
Kama una BWANA amekuoa namwonea sana huruma- maaana unamburuza na kumziba mdomo kisawasawa!
Mara ingine akina dada kama Mwafrika wa Kike huwa hawaolewi! huwa tu senior sisters! Na kuzaa tu mtoto na Mme wa mtu basi!
Hii ndo hali halisi!