Mkuu Vuvuzela
Sina mashaka kuwa unaelewa CHINA anamkopesha US au US anadaiwa mapesa mengi na CHINA. US ana deni kubwa la China. Lakini US hapendelei kuiona Afrika inafanya ukaribu au urafiki na China.
Hapa sio hili la mkopo wa mradi huu tu. Ukweli utabaki China ametoa misaada na mikopo kwa nchi za Afrika bila ya masharti kama ya IMF na World Bank, wala China huwa haingilii mambo ya ndani ya nchi husika. Ni wazi kuwa China wana-wanachokitaka kutoka kwetu lakini ni business oriented na sio kui-control nchi husika kama wafanyavyo hawa "wazungu" wetu.
Si umesoma kuwa UK wanasema tusiwabuguzi mashoga au atatunyima misaada. Masharti juu ya masharti.
Ni wazi sisi tumewafata wachina na kuwambia tunataka mkopo, sio kuwa mchina kaja kutulazimisha tuchukue mkopo. Kama "viongozi" wetu wameamua kututia mkenge basi lawama haziendi kwa China. Lawama tuwabebeshe "viongozi" wetu.
Kenya haina lolote.Ni kibaraka mwengine tu wa America.
Juzi pale yule mama anayetajwa mtalii aliyetekwa hatimaye tulielezwa jeshi la Kenya limeizingira boti inayodhaniwa kuwemo hayo bibi.
Sikutaka kujishughulisha kufuatilia kwani nilijuwa wala hawatoikamata kwani ni uongo tu.
Ilikuwa ni matayarisho ya kushiriki vita dhidi ya waislamu wa Somalia inayoongozwa na mbabe mkuu aliyepiga drone ras Kamboni.
Kule Tanzania nao wamekamata wasomali maeneo ya mafia.Ni kasi ya fitna ya kimarekani eneo lote la Afrika mashariki na kati.
Mkuu VuvuzelaOut of the debt of 14 trillion USD, China anaidai US only 1.5 trillion. Sasa iweje wenye kuidai US sehemu kubwa ya deni wasipige kelele sana kuliko China?
Russia alipoivamia Georgia baada ya South Osertia kuvamiwa hatukuona hizo theory zisizo na kichwa wala miguu na watu mlikaa kimya hapa. Nahisi watu mna gundu na US kuwa kila anachokifanya basi mtaanza kuja na theories zenu za ajabu ajabu.
Al shababu ni mzigo na matatizo kwa Africa na dunia. Big up Kenya na Kibaki, mkiweza twanga risasi yeyote atakaekaa mbele yenu huko Somalia awe raia ama hao majangili wa kisomali na Kenya wakiweza waitwae Somalia yootee iwe part of Republic of Kenya on a permanent basis
Mkuu Vuvuzela
Hii 1.5 trillion ni hela ya chai tu? Unaelewa kuwa bila ya kuongeza debt ceiling US walikuwa hawana nchia ila ku-default?
Wadeni wengine ni nchi zipi?
Hili la Russia wewe ulilipigia kelele? au na wewe ulikaa kimya?
Hizi theory za kiajabu ajabu zinapatikana hapa AfriCom Year Two: Seizing the Helm of the Entire World [Voltaire Network] na The African 'Star Wars' - Opinion - Al Jazeera English halafu changanya na zako.
Gundu wanalo Occupy wall Street protesters.. Occupy Wall Street | NYC Protest for American Revolution . Sisi wengine tunachukizwa na uharibifu anaoufanya US katika nchi za watu kwa kisingizio cha vita dhidi ya ugaidi, Al qaeda.
Gaidi mkuu ni CIA na hata "Al qaeda" ni mtoto wa CIA-US Gvt. The Myths of Al Qaeda
US military aid troubles Africa - Americas - Al Jazeera English
Wanaoidai USA hela nyingi ni wamarekani wenyewe!!
Wakenya hawawawezi Al Shabaab. Ao nyang'au hawana ubavu. Sana sana wanajitafutia balaa la kujitakia. Najua akina Smatta, Mkenyamzalendo, Moyo, Nomasana etc. watabisha/kasirika kwa hili, lakini habari ndo hiyo. Muda si mrefu Nairobi itasambaratika kama Mogadishu, Insha'Allah!
Nawaunga mkono na kushauri rais wetu JK aongeze nguvu hawa Al-Shabab ni kundi la wahuni waliofadhiliwa na waarabu kufanya fujo africa mashariki. Naona walinogewa na utekaji nyara wazungu bora watandikwe sawa sawa. Hata hivyo nondo unachokinena kina mantiki ndani inabidi Africa mashariki wawe waangalifu rasilimali ni sumu sana tuna maadui nje na ndani ya nchi.
Tayari US wamefanikiwa katika mkakati wao.
Unakumbuka waliingia Somalia na kuanzisha (humanitarian intervention) ambayo baadae wakajiondoa. Sasa wamerudi kwa drone strikes. wameweka base Djibout na sychelles.
Unakumbuka US waliripua balozi zao hapa Tz na Kenya? na kuleta "washauri" wa kijeshi na wachunguzi wa ugaidi?
Sasa ni Rasmi Obama anapeleka Askari aka washauri wa kumsaka Konye.
Kwa tamko hili la Kenya ni wazi wanafungua mlango wa kukaribisha na kusambaza vita, ugaidi.
Katika siku zijazo TZ itafikiwa na hali hii ya kuingizwa katika mapambano. Al shabab tayari wanalaumiwa kuingia Uganda, Kenya bado TZ.
US wanajua kucheza karata zao vizuri....rasilimali zetu, ndio laana yetu.
Hapo Mama FaizaFoxy naona unaongea kama vile wewe ni mzungu au mchina. Nawasilisha!
Kenya Air fire power is Awesome. Al Shaabab running scared. Jamaa watasafisha hadi Guba la Ajemi.
Kila kitu mnachoambiwa na wazungu mnakubali.
nairobi,saturday october 15,2011
with over 45 fighter jets and 60 combat long range helicopters shifting base from nanyuki and moi airbases to elwak and liboi garrisons along the border,kenya has formally declared war against al shabaab.
Millitary sources indicate that over 12,000 army men most of them snipers have already arrived along the border with more trucksloads and transport helicopters moving others from as far as lanet and gilgil barracks nakuru to the border
over 75 tanks were also sighted in isiolo yesterday evening under heavy escort en route to liboi while heavy war ships from mtongwe navy barracks have pitched tent at kiunga and manda.
kenya declares war on al shabaab*- news*|nation.co.ke
Wanaoidai USA hela nyingi ni wamarekani wenyewe!!
Wanaoidai USA hela nyingi ni wamarekani wenyewe!!
Na wewe kibwengu/kilaza unaona hiyo lugha unayotumia ni ya busara sio?Unaona ktk waliochangia kwa busara wewe ni mmoja wao siyo? Mh! Huku ndani tuna watu wanafikiri kwa kutumia lili jina la Meya wa Dar! ondoa huu uchafu hapa maana ushabiki wako ni wa kipuuzi. Siyo kila mstaarabu anapenda machafuko yasiyo na sababu