Kenya baada yakuwekwa kundi la wasioruhusiwa kuingia Uingereza, yalipiza kisasi yawataka wasafiri Wote toka uingereza kuwekwa Karantini

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Kenya baada yakuwekwa kundi la wasioruhusiwa kuingia Uingereza, yalipiza kisasi yawataka wasafiri Wote toka uingereza kuwekwa Karantini

Ndio wajue kwamba beberu hana urafiki na mtu, sasa uwazuie watalii toka uingereza ya kazi gani, sisi waje tu walete hiyo midollar na mipaundi, hakuna lockdown wala restriction, waje tu, hotel zipo waazi zinawasubiri 😂😂😂👍🏼
 
Badala ya kujijenga kiafrica mashariki nyinyi mnajikomba kwa wazungu haya yale maua mtawaoa mbuzi wale au maana hamjui lockdown inaisha lini.
 
Back
Top Bottom