Daraja2
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 285
- 346
Habarini za jioni hii,
Wakati majina yakitangazwa "mubashara" kulikuwa Kama na maelekezo ya Moja kwa Moja kwa wajumbe kumpitisha "mlengwa" katika kiti husika.
Rejea "waliopitishwa Jimbo fulani wako 7 akiwemo fulani (jina la muhusika).
USHAURI;
Wewe ambaye bado ni mdogo kiumri jipange kisawa sawa (kisera) usikate tamaa mapema kwani mambo bado ni bila bila 😂😁🤣 !!!
Hallo ! Hallo ! wewe ni nani ........!!!!!??
Sm zimeanza kuingia................subirini kidogo,