Kidawa_hiphop
Senior Member
- Jul 7, 2018
- 168
- 254
Mwanaume unaangalia sauti
Ea radio wapo vizuri sana kwenye kuibua vipaji ila saivi kama wamelay low kidogo navyoonaJamaa hauna data kabsa. Kwa taarifa yako IPP ndo kiwanda kikubwa cha kuibua vipaji vya utangazaji na mambo mengne yanayohusiana na hayo.
Kennedy the Remedy, Mamy Baby, Dj Sinyorita wote walitoka East Africa Radio kweny kipindi cha The Cruise.
Ila nikiri tuu tangu hizo mtu 3 zenye chemistry ya hali ya juu ziondoke The Cruise nayo ikawa km imepooza.
Sijui wanakwama wapi kwa sasa.Ea radio wapo vizuri sana kwenye kuibua vipaji ila saivi kama wamelay low kidogo navyoona
Hahaa alipie tangazo hata kama yuko vizuriWe Kennedy ndio umeamua uje ujipaishe huku?
Anyway uko vizuri mkuu
Enhee mtoa mada usijifanye kwamba hujayaona haya maswali "..Changes gani ameleta kwenye Entertainment Industry? Uniqueness gani anayo? Kitu gani kinamtofautisha na wengine ambacho wengine hawana kabisa
Ilikuwa ni balaa " bila ya kumsahau George bantu " Aisee nilikuwa sikikosi hicho kipindi " ni flavour za music mkali za kufa mtuSijui wanakwama wapi kwa sasa.
The Cruise ya Kennedy, Mamy,Dj Sinyorita ilikaribia san kuireplace Amplifaya ya Millardayo sema wakawahiwa.
Acha tuu mkuu, the cruise kwa sasa iko hoii, hata sielewei wanachofanya.Ilikuwa ni balaa " bila ya kumsahau George bantu " Aisee nilikuwa sikikosi hicho kipindi " ni flavour za music mkali za kufa mtu
Hovyo sana hao " EAradio " wanapenda kuwabana wafanya kazi wao kimaslahiAcha tuu mkuu, the cruise kwa sasa iko hoii, hata sielewei wanachofanya.
Mimi ninachojua jamaa amekuwa msukule wa B DOZEN "Kweri kweri"Nianze kwa kutoa pongezi kwao IPP Media kwa kuwa na jicho la kipekee kabisa la kuona talanta mbalimbali kubwa kwenye utangazaji.
Kenedy alitoka East Africa redio na kwenda Clouds mwaka 2015 na nikiri tu kwa kusema huyu jamaa amebarikiwa aisee,ana vitu ambavyo watangazaji wengi hawana mfano sauti ya kipekee na vingine,pia kuwa relevant na what goes around..kwa wafuatliaji wa media utaona kuwa hakuna talent mpya kali kwa kipindi hiki ila huyu anaweza kuwa mmoja wapo..
Big up IPP kwa jicho la kipekee