Kenedy 'The Remedy' wa Clouds FM

Kidawa_hiphop

Senior Member
Jul 7, 2018
168
254
Nianze kwa kutoa pongezi kwao IPP Media kwa kuwa na jicho la kipekee kabisa la kuona talanta mbalimbali kubwa kwenye utangazaji.

Kenedy alitoka East Africa redio na kwenda Clouds mwaka 2015 na nikiri tu kwa kusema huyu jamaa amebarikiwa aisee,ana vitu ambavyo watangazaji wengi hawana mfano sauti ya kipekee na vingine,pia kuwa relevant na what goes around..kwa wafuatliaji wa media utaona kuwa hakuna talent mpya kali kwa kipindi hiki ila huyu anaweza kuwa mmoja wapo..

Big up IPP kwa jicho la kipekee
 
Jamaa hauna data kabsa. Kwa taarifa yako IPP ndo kiwanda kikubwa cha kuibua vipaji vya utangazaji na mambo mengne yanayohusiana na hayo.

Kennedy the Remedy, Mamy Baby, Dj Sinyorita wote walitoka East Africa Radio kweny kipindi cha The Cruise.

Ila nikiri tuu tangu hizo mtu 3 zenye chemistry ya hali ya juu ziondoke The Cruise nayo ikawa km imepooza.
 
Ea radio wapo vizuri sana kwenye kuibua vipaji ila saivi kama wamelay low kidogo navyoona
 
Sijui wanakwama wapi kwa sasa.

The Cruise ya Kennedy, Mamy,Dj Sinyorita ilikaribia san kuireplace Amplifaya ya Millardayo sema wakawahiwa.
Ilikuwa ni balaa " bila ya kumsahau George bantu " Aisee nilikuwa sikikosi hicho kipindi " ni flavour za music mkali za kufa mtu
 
Nianze kwa kutoa pongezi kwao IPP Media kwa kuwa na jicho la kipekee kabisa la kuona talanta mbalimbali kubwa kwenye utangazaji.

Kenedy alitoka East Africa redio na kwenda Clouds mwaka 2015 na nikiri tu kwa kusema huyu jamaa amebarikiwa aisee,ana vitu ambavyo watangazaji wengi hawana mfano sauti ya kipekee na vingine,pia kuwa relevant na what goes around..kwa wafuatliaji wa media utaona kuwa hakuna talent mpya kali kwa kipindi hiki ila huyu anaweza kuwa mmoja wapo..

Big up IPP kwa jicho la kipekee
Mimi ninachojua jamaa amekuwa msukule wa B DOZEN "Kweri kweri"

Yaani hata DOZEN akimwambia nitakuf**ra jamaa anajibu "Oyaaaaaa"

Halafu naona ana mafua yasioisha.
 
MWANAUME KUMSIFIA MWANAUME MWENZAKE NI USHOGA WA KIWANGO CHA MASTERS DEGREE ASEEEEEEEEEEE
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom