Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 845
Niaje washkaji zangu.? I hope weekend imekaa powa sana.
Leo ninapenda kuweka wazi ni jinsi gani Ninawakubali hawa watangazaji wawili kutoka cloudsfm, kiukweli sikuwa msikilizaji wa Clouds bt hawa ndo wamenifanya nihamie katika masafa ya Clouds fm. Kinachonifanya niwakubali ni Aina yao ya Utangazaji,hawa sio waigizaji pale wanapo kuwa on air wana aina flani hivi ya swaga ambayo watangazaji wengine "Kwa mtazamo wangu" wamekosa,wanajua kuburudisha na kukufanya uwe focus kusikiliza radio,.
Ile sauti ya mamy pamoja na kicheko chake ndo kabisaaa kinaniturn me on. Napenda sana kuwapongeza vijana hawa wawili kwa kazi nzuri wanayofanya bila kumsahau Dj sinyorita.
Nawatakieni Weekend njema
*Mwenye namba ya mamy ani"PM" tafadhali