KERO Kelele za Matangazo (PA) zinatutesa wikiendi Asubuhi Jijini Mbeya

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kumekuwa na kero ya Watu wanaopita na magari ya matangazo (PA) Mbeya Mjini tena wanatabia ya kuanza matangazo yao mida ya Saa Kumi na Mbili kasoro asubuhi siku za mapumziko wakati tumelala.

Hii ni kero na kwa sababu jiji linapokea silimia kadhaa kwenye haya matangazo tunaona hawakemai hili.

Naishi Forest Mpya kwa Mwamnyange na hii kero ni almost kila weekend na siku za mapumziko, mfano juzi Mei Mosi hizo PA zinapiga kelele mapema mno muda tumelalala na zina sauti kubwa hasaa.
 
Back
Top Bottom