Mkuu mtaa wa Arusha ni uswazi??? Nadhani huijui vyema mitaa hiyo.Tatizo la kuishi uswazi ndio hapo,mambo ni Moto mkuu kwa hili la leo haikuwa rahisi kunyamaza.
Mkuu ilala hakuna huo mtaa wa bukoba na arusha acha uboya. Mtaa wa bukoba unaishia mtaa wa tukuyu, ukija mtaa wa arusha mtaa wa bukoba umezibwa na kanisa. Kwa kifupi mtaa wa bukoba hautokei mtaa wa arusha umezibwa na kanisa.nawaomba wahusika hasa mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa hawa wenye vibanda vya kuonyesha mipira mitaani majirani wanashindwa kulala hata watoto hawalali mapema kwa kelele za washangiliaji. naomba suala hili mlishughulikie hapa ILALA MTAA BUKOBA NA ARUSHA kuna kibanda cha mabati watazamaji wa mpira huyapiga yale mabati ya kibandani majirani wote wanakaa macho hawana lakufanya naomba mkuu wa wilaya tuma watu washuhudie watu wanakosa raha ya kupumzika
Ha ha ha ha, imebidi nicheke tu. Japokua mi sio mleta mada lakini acha nikusahihishe kidogo.Mkuu ilala hakuna huo mtaa wa bukoba na arusha acha uboya. Mtaa wa bukoba unaishia mtaa wa tukuyu, ukija mtaa wa arusha mtaa wa bukoba umezibwa na kanisa. Kwa kifupi mtaa wa bukoba hautokei mtaa wa arusha umezibwa na kanisa.
nawaomba wahusika hasa mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa hawa wenye vibanda vya kuonyesha mipira mitaani majirani wanashindwa kulala hata watoto hawalali mapema kwa kelele za washangiliaji. naomba suala hili mlishughulikie hapa ILALA MTAA BUKOBA NA ARUSHA kuna kibanda cha mabati watazamaji wa mpira huyapiga yale mabati ya kibandani majirani wote wanakaa macho hawana lakufanya naomba mkuu wa wilaya tuma watu washuhudie watu wanakosa raha ya kupumzika