Keki yenye rangi ya CCM yakataliwa!


[/QUOTE]



iliyoandaliwa na Baby Girl Shy Rose



Shy-rose%283%29.jpg


Mhh!..... haya! natanguliza hongera kwa baby girl shy rose
 
Kukataa keki kwa kuwa ina rangi ya CCM ni ushamba na ujinga, hapo ndipo inapoonesha tuna mibunge mijinga kutoka upinzani, waikatae na bendera ya Tanzania ime sheheni rangi za CCM.

Waweke yenye rangi ya chadema waone watu waliostaarabika, wataila na kama nzuri wataisifia.

Gamba bwana utalijua, hawezi ccm real rangi ya chadema aagree cula labda mpenda maendeleo aliye salia ccm ,ccm walifyonza rangi za bendera ya taifa hizo mbili wawahadae wajinga.
 
nadhani hawa huwa hawali mboga za majani, na pia watakuwa sio mashabiki wa yanga kwa sababu ya rangi.
 
Viva Halima Mdee!!! Niliwahi kumwona Mbunge mmoja wa CCM akikataa T shirt za chama chake kwa vile yeye ni mshabiki mkubwa wa Timu ya Simba.
 
Mimi ningeikata na kupenyeza kahotoba kwamba leo ndio tunamla na kummaliza magamba!!
 
Walio kataa hiyo keki nawapongeza sana maana mapenzi mengine hayana maana kabisa wewe unajua dhahili kabisa unamarafiki wenye itikadi tofauti tofauti iweje uyaweke mapenzi yako mbele itakuwaje akija kwenye Birth day yangu nimnusishe keki yangu niliyoitengeneza kwa kitimoto? atafurahi? huu ni ujinga wa wazi kabisa
 
Ni birthday ya ccm au ya Shyrose? Ushabiki mwengine basi tu siasa hadi hafla za kijamii.
 
Kuna haja gani kuficha hiyo glass ya whisky nyuma ya glass ya juice si waweke wazi tu ugimbi huo watu tutengeneze spidi ijumaa hii.........
 
Back
Top Bottom