You are yet to see the worst.....
kumbe we mzunguYou are yet to see the worst.....
Mimi nakula hiyo theluji tu milima nakuachia wewe.nakula hivyo vimilima tu nyingine nagawa!!!
Hii hupaswi kutumia meno wakati wa kuila, unailamba tu hadi iishe!! Ningependelea kutoa oda ya keki mbili za mapaja, moja iwe na kufuli jekundu lenye maua maua na ya pili pale kati kusiwe na kufuli afu alipige msitu mnene mweusiii wa mabwepande! lol
Kaunga hiyo keki inaweza ikakunufaisha! Muache jamaa afanyie practice utaona perfomance itakavyo improve mkiingia kwenye shughuli yenyewe!Nikimkuta nayo mtu wangu nammaliza, wivu hadi kwa cake!