Neutral Man ZT
JF-Expert Member
- Sep 5, 2025
- 378
- 692
Huyo Edmund unaamini kwamba ni Nabii mwenye kutabiri yajayo kwa kufunuliwa na Ulimwengu wa rohoni?Nabii Mystic alitabiri kikao kizito cha baadhi ya watu wazito kitakutana usiku wa maanane ili kufanya maamuzi mazito, na pia kutoa rai ya kuiombea sana nyota kutoka Brazil
Kikwete na Samia wanatoa machimbo ya madini kuwapa Taasisi za kijasusi za Urusi, Ufaransa, CIA, Wachina, Waarabu na hao Mossad, je mwisho wa mchezo nini?Ninauza shamba langu eka 3 nipate pesa ya kuwalipa MASSAD watuondolee genge hili haramu kama walivyombutua Khomenei...
Maandiko hutuasa kuyapima matendo yake, kipimo ni matendo yake mkuu.Huyo Edmund unaamini kwamba ni Nabii mwenye kutabiri yajayo kwa kufunuliwa na Ulimwengu wa rohoni?
All I know mwisho mfumo utashinda. Ukichakata mapito ya Taifa hili inawezekana kinasukwa kitu ambacho hakuna atayekuja kutikisa Taifa kwa miaka 50 ijayo. Hizi sarakasi ni za uchungu wa kuzaa lakini atatoka mtoto wenye siha njema ..... I believe tutabaki na Taifa imara.Samia, Kikwete, Rostam, kuna wa kuweza kuwashida hadi sasa?
Kabla hatujafika huko, lazima watu wawajibishwe kama fundisho kwa wengine.All I know mwisho mfumo utashinda. Ukichakata mapito ya Taifa hili inawezekana kinasukwa kitu ambacho hakuna atayekuja kutikisa Taifa kwa miaka 50 ijayo. Hizi sarakasi ni za uchungu wa kuzaa lakini atatoka mtoto wenye siha njema ..... I believe tutabaki na Taifa imara.
mfumo ? unamaanisha mtandao wa kina Jk?All I know mwisho mfumo utashinda. Ukichakata mapito ya Taifa hili inawezekana kinasukwa kitu ambacho hakuna atayekuja kutikisa Taifa kwa miaka 50 ijayo. Hizi sarakasi ni za uchungu wa kuzaa lakini atatoka mtoto wenye siha njema ..... I believe tutabaki na Taifa imara.
Hajui kitu huyo JK ndo mfumo hujui kwamba hata mtoto jk boss wa idara mpaka sasa utumishi wa Umma 😂😂mfumo ? unamaanisha mtandao wa kina Jk?
mWaSuAla ya VP kutema ndoanoMasuala ya T.A.L au?
mWaSuAla ya VP kutema ndoanoMasuala ya T.A.L au?
Mtazamo wako ni mzuri lakini usisahau kuwa sasa "watu wanapenda fedha" kuliko wa zamani. Hiki ndio kikwazoAll I know mwisho mfumo utashinda. Ukichakata mapito ya Taifa hili inawezekana kinasukwa kitu ambacho hakuna atayekuja kutikisa Taifa kwa miaka 50 ijayo. Hizi sarakasi ni za uchungu wa kuzaa lakini atatoka mtoto wenye siha njema ..... I believe tutabaki na Taifa imara.
Lakini fedha nayo ina mwisho wake, kuna vita ya matabaka mbali mbali Ndani na nje.Mtazamo wako ni mzuri lakini usisahau kuwa sasa "watu wanapenda fedha" kuliko wa zamani. Hiki ndio kikwazo
Leo nimekutana na comment yenye akili halafu bila shaka imetoka kwa mtu asiyefungamana na upande wowote.Nadhani ni kuachiwa kwa mwenyekiti wa wale jamaa.
Hata hivyo ikiwa hivyo litakuwa jambo jema Sana na baada ya kuachiwa ni vema mambo mengine yafanyike wanguwangu Sana maana ni kama taifa limesimama sana hakuna kinachoendelea cha maana nchini ni Bora michakato ya katiba na time huru ya uchaguzi zifanyike ili kufikia 2030 ufanyike uchaguzi wapatikane viongozi watakaolipeleka taifa mbele.
Labda refund mkuu,ulishachanika ilibidi oct29 ashinde mtu wa upinzani kama braza Salum hivi😂Akitolewa Yuda basi majani mabichi yatagawana mbao! Halafu tutaongea Lugha Moja huko mbeleni! MKEKA WA SHEIKH YAHAYA bado haujachanika
Kwa akili zetu hili nakataa...uimara umezungumzia kwenye angle ipi?All I know mwisho mfumo utashinda. Ukichakata mapito ya Taifa hili inawezekana kinasukwa kitu ambacho hakuna atayekuja kutikisa Taifa kwa miaka 50 ijayo. Hizi sarakasi ni za uchungu wa kuzaa lakini atatoka mtoto wenye siha njema ..... I believe tutabaki na Taifa imara.