Keep it up mheshimiwa Godbess Lema

Nani aliomtisha kwenda jela? kapewa dhamana kaikataa, asidanganye watu. Siasa za kucheza na hisia na watu ni mbaya kuliko siasa maji taka.

FaizaFoxy!!!!!

Nadhani Mtazamo wako uko wewe uko tofauti, Ukilielewa swala la Siasa za arusha vyema then utaelewa kwanini Lema alikataa Mdhamana,

Machache tu Police wa Arusha esp ni vibaraka wa Vigogo na matajiri wa mji huo hii neda arusha kaulize utaambiwa liko wazi.
Arusha Political Interest za viongozi wa CCM zipo kubwa sana na zimeingia hadi kweny biashara zoa Binafsi wanajifanya ni wanasiasa wanao jari mji huo kumbe chini yake kuna mambo yao.

Karibia 90% ya wakazi wa Jimbo la Arusha mjini ni upinzani hata baadhi ya wana CCM ni wapiga kura wa Upinzani na ni support wa upinzani ndani ya CCM na serikali inayo ongozwa na CCM

Viongozi wa Serikali na CCM walipo mkoa huo hawana nguyo yoyote ya kuwaambia wananchi kitu au kuwashauri kuwa hili ni jema na hili sio jema kwani tayari wananchi wa jimbo hilo walisha choshwa na ahadi fake za CCM ntakupa mfano mzuri nao ujua mimi Tokea siasa za vyama vingi vimetinga nchini na uchaguzi wa vyama vingi ulipo anza Arusha ndio jimbo pekee kwa mara ya kwanza NCCRa-Mageuzi chini ya Makongoro Nyerere(M/Kiti wa CCM MARA kwa sasa) alikuwa mbunge na CCM wenyewe waka mpiga zengwe wakapewa jimbo hilo kwa uamuzi wa mahakama kwanini CCM kama wao waliona ni washindi wasiombe uchaguzi urudiwe waone kama kweli wao walistahili kuwa na mbunge wao wa CCM kuongoza jimbo la Arusha? na Since then CCM hushinda uchaguzi Mahakamani na sio kura zipigwazo na wananchi, kila mara kura zikitolewa na Tume ya Uchaguzi ni Upinzani wameshinda na this time wanachi wa jimbo hilo walidiliki kusimamia majibu pale Manispaaa kwani walichoshwa na wizi wa kura na Lema akawa mbunge na kura zilihesabiwa mara nyingi na Batilda aliachwa nyuma hakuamini kwani alitumia pesa nyingi na hata usalama wa taifa walihusika kumsaidia kupata ushindi lakini nguvu ya umma ilidhihirika siku hiyo leo hii wategemea arusha pata tulia wakisema uchaguzi urudiwe? na ndio maana wakamweka Mbunge wao ambae ni jasili na wamataka mtu wa namna hiyo kuliongoza jimbo hilo,

Wakati wa kampeni kulikuwa na makundi makubwa katika jimbo hilo CCM ndio walikuwa kinara wa makundi hayo chini ya M/Kitiu wa wilaya CCM Arusha Mzee Kireo na wapambe wake wa UVCCM ambayo nayo ilikuwa ni ya makundi makubwa wakimbinga Mwalusamba M/Kiti UVCCM wilaya ya arusha mjini na wakalipoteza jimbo kwanini Batilda alikuwa na makundi ya watu katika kampeni zake na pesa za kuhonga nyingi zilitoka sana wananchi hawakutaka hilo pila kulikuwa na tetesi live wananchi hawakumtaka Batilda awe ndie mgombea wa kiti cha CCM arusha mjini wengi walimuunga mkona Dr. Kibora ila kwa ukiritimba wa wana CCM katika Jimbo hilo walimtosa Dr. Kibora na ikala kwao na CDM waka chukua Jimbo. Tatizo hilo la kukosa Jimbo likawa ndio chuki miongoni mwa UVCCM,CCM wenyewe na badhi ya viongozi waandamizi Serikalini pia na vyombo vya dolla kwanini CDM kushinda jimbo hilo na kijana Lema wao wanamwona kama hana akili lakini wananchi wa jimbo hilo wamemchagua hakuna jinsi matokeo yake sasa ndio sasa wanataka kuwapa uwoga watu wa arusha kwa kumsurubu mbunge wao nae wakamkuta yuko tayari kwenda huko watakako na sasa police wa mji huo wamekalia kutapatapa na kuwakamata raia hovyo na kuwasingizia kesi za maandamano.

Kwanini serikali isikae chini na kufikilia njia rahisi ya kuwasikiliza hao wananchi wa arusha hata kama mbunge wao ni wa upinzani tatizo kukosa jimbo kweli? Uchaguzi wa Mayor jimbo hilo nao uliingiwa na kasheshe za upigaji kura yet serikali badala ya kukaa na kutafakari ni njia ipi mbadala kutatua matatizo ya arusha kisiasa yet mkuchika akasupport uchaguzi ulikuwa halali wa Mayor hivi hiyo ni akili kweli kukwapua madaraka walidhani ndio suluhisho nasi huku wananchi twadhania CDM ni wakorofi je serikali ilisupport uchaguzi ulikuwa halali huku sheria na kanuni za uchaguzi huo ulikiukwa wewe ulisha ona wapi Mary Chitada mbunge viti maalum Tanga anakuja piga kura ya mayor Arusha kwa akili ya haraka haraka tuu we hii ni sawa sasa hayo yote ndio mkanganyiko wa mabo yote yanayo tokea arusha.

Hata kama kuna political interest za watu yet sheria ifuata mkondo wake kwa haki muone kama kutatoke avurugu wananchi wa jimbo hilo nadhani wameisha choshwa na dhuruma za haki nandio maaana hapatulii hadi serikali yenyewe ijirudi na kutoa haki kwa wana wa Arusha period.

Sasa FaizaFoxy unaweza changanua akili yako hapo na upate jibu na ujijibu kijasili na sio kinafsi yako tizama watanzania wana taka nini demokrasia iweje?
 
Nani aliomtisha kwenda jela? kapewa dhamana kaikataa, asidanganye watu. Siasa za kucheza na hisia na watu ni mbaya kuliko siasa maji taka.

mimi nasema,MZAHA MZAHA ULITUMBUWA USAHA,tuzidi kudharau haya yafanyikayo sasa ila ipo siku hii nchi itawaka moto,kwani hata sehemu nyingine mambo yalizanza hivihivi

tunaweza kusema kuwa kila jambo ni mzaha ila ipo siku watu watachoka na watu wakichoka hata uje na siraha ya moto huwezi kuwarudisha nyuma angalia Yemen,Libya na sehemu nyingine ni kuwa watu wamechoka na serikali zao zimeshindwa kuwarudisha nyuma waliochoka

kamwe daima hutoweza mzuia mtu aliyechoka kunyanyaswa kuitafuta haki yake,wanajeshi ,usalama wa taifa,polisi,mgambo,mabomu,maji ya kuwasha hakika hayataweza kuwazui

namwomba mungu MZAHA HUU TUUFANYAO SASA USITUMBUE USAHA, kwani hata sisi tulo mahili wa kuandika hatutoweza tena kuandika kwani hakuna mwananchi atakaye turuhusu kufanya hivi,
 
Back
Top Bottom