KDF in Mozambique

Hahahaha, eti KDF wanaweza kutoa msaada?, tuambieni wamepeleka kwa usafiri gani?, kama ni ndege yenye ukubwa gani na tani ngapi ilibeba?, kama ni barabara, walipitia wapi, kwasababu hatujaona msafara wa KDF Ukipata, hii habari ya kutoa box 10 za Blankets za kichina na kuonyesha mumetoa msaada hatutaki kusikia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Unajiandikia tu bila kufikiri! Kenya wana ndege za mizigo na abiria za kimataifa, Kenya wana Bandari naona umesahau kuwa bandari ya Mombasa iko Kenya!haa haaa na Msumbiji kuna bandari!! Ndege za mizigo za Kenya ndo hupeleka minofu ya samaki sangara na sato wa Mwanza na Maua kutoka Arusha Ulaya, sasa watashindwaje kupeleka msaada Mozambique??! Tatizo shule za Kata kutokuwa na Waalimu wa Geography!!
 
Ndege za KDF ndio zinazopeleka maua na minofu ya samaki Ulaya?, ama kweli kuwa chizi sio lazima uokote makopo. Tunazungumzia KDF waliopo Mozambique, acha kuparamia story kwa mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
a wapi...ukitaka rudia hta mara kumi...ila ukweli umeshajulikana...joint mission kw ajili ya vijana wa mapanga...bwahahaaa
Eti JWTZ ndo lilipigana na Portugal...ha! Na only 5% ya wa Mozambique ndo walipigania Uhuru wao..... Hayo ni matusi makubwa Sana Kwa wa Mozambique! Ningekua na wamozambique kwenye forum jamaa angetukanwa Sana!
 
Sasa

Tofautisha kupigania kupigana vita na kupigania Uhuru, hivi tukisema Tanzania tulimpiga Amin(Uganda), inamaana ni watanzania wote tulishika bunduki?, acha uzwazwa, au unataka kusema wakati wa vita vya Maumau wakenya wote waliingia msituni?, acha uzwazwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SasaTofautisha kupigania kupigana vita na kupigania Uhuru, hivi tukisema Tanzania tulimpiga Amin(Uganda), inamaana ni watanzania wote tulishika bunduki?, acha uzwazwa, au unataka kusema wakati wa vita vya Maumau wakenya wote waliingia msituni?, acha uzwazwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo ulisema "vita vya kuikomboa Mozambique toka kwa Wareno ambavyo 95% jeshi lililopigana ni JWTZ" kwahivyo only wanajeshi 5% kutoka Mozambique ndo walipigania Uhuru wao... Wamozambique wengine wote walikua wanaimba aluta continua wakiokolewa na JWTZ!!!
 
Wewe ni mjinga sana, FRELIMO haukuwepo, ilianzishwa Tanzania na mwalimu Nyerere baada ya kuwakusanya vijana wachache waliokimbilia Tanzania toka Msumbiji, hilo jeshi la Mozambique linetoka wapi?. Samora Machell alikuja Tanzania akiwa Mdogo, hao wanajeshi toka Msumbiji angewatoa wapi?.

Ninyi mlikataa kabisa kushiriki shughuli zozote za ukombozi kusini mwa Africa, muda wote huu tukiwa tunapigana ninyi mlikua mnajenga majumba marefu na viwanda hapo Nairobi, vipi Leo unajisikia vibaya ukisikia kwamba Tanzania ndiyo iliyoikomboa Mozambique?

Eti nyinyi ndo mlianzisha FRELIMO, pwahahaha .... Hizi ni hadhithi za abunuasi. nje ya Tz story ni tofauti.... Lakini endelea kujipigia gitaa ! Ha!
 
Tz 'mkombozi' wa Afrika ila ikija nyumbani kazi ni kuwahadaa wakulima wa koroshow na wabadilisha sarafu.
 
Eti nyinyi ndo mlianzisha FRELIMO, pwahahaha .... Hizi ni hadhithi za abunuasi. nje ya Tz story ni tofauti.... Lakini endelea kujipigia gitaa ! Ha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
eti mlimpiga iddi amini...wapi hko..sema mliungana museven na ndio mkapambana amini...wacha kutuletea uboya sisi...

ala kafrican yani joto la jiwe anamaanisha 5% ya watu msumbiji ndio walipigania uhuru..hku 95% walikaa kando wakiwaangalia jwtz hku wakikenua meno tu....bwahaaaaaa
 
ukwel vulcan kawaumbua..yani joint mission kw ajili ya vijana wa mapanga..si gsu tu hao watawamalliza kw madakika tu
 
eti mlimpiga iddi amini...wapi hko..sema mliungana museven na ndio mkapambana amini...wacha kutuletea uboya sisi...

ala kafrican yani joto la jiwe anamaanisha 5% ya watu msumbiji ndio walipigania uhuru..hku 95% walikaa kando wakiwaangalia jwtz hku wakikenua meno tu....bwahaaaaaa
Usichezee Propaganda machine ya CCM, unafikiri vipi jamaa wameongozwa na chama kimoja inaelekea miaka 60 sasa.
Ushawai waskia Wakisema eti Kenya bila Tanzania haiwezi exist!!!!!!!!
 
Kazi ya joto la jiwe na Geza Ulole hiyo. Ya kusema bila tz hakuna Kenya. Eti wanalisha wakenya. Wanawalisha upumbavu I think.
Onyesha kitaalamu ni vipi Kenya inaweza kuishi bila Tanzania, wakati raw materials za viwanda vyenu vya nguo, cement, ngozi, tiles na vyakula mnategemea Bongo?. Bidhaa zenu zote zinazokwenda Malawi, Zambia, Zimbabwe, Namibia, na Angola zinapitia Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom