Moala minne iliyopita niliwahi kuwa ward ya general surgery KCMC,wauguzi walikua ni wachache sana na palolua na ajali nilichokiona ni kwamba asubuhi sana wahudumu wanaleta maji ya moto kwenye corrido na kuita wagonjwa wanaojiweza wakajisafishe na wadoojiweza kama wana ndugu wawasaidie,wasio na ndugu niliona mmoja wakihangaika nae sana baadae nikaambiwa aliokotwa akiwa hajitambui so hawamjui hata jina ila wao ndo wanamtunza!wiki mbili baadae mgonjwa aliamka akajitambua akasema ndugu zake wakatafutwa!alikuja baba akaanza kugombana na manesi eti hawamuhudumii mgonjwa wake!alifikia kuwaambia wauguzi eti nyie hamnijui mimi ni nani!walimvumilia lakini ilibidi wamjibu hovyo na wakati anafanya hivyo ward ina wagonjwa 76 wauguzi 3 n'a wahudumu 2.WAUGUZI NAO NI WATU TUPUNGUZE KERO ZA KUWAZUSHIA MANENO!Kuhusu kucharge hilo ni agizo la management.kwa wauguzi wakorofi naturaly ambao ni wachache wajirekebishe.