Kazini imekuwa ngumu kwangu msaada

Kazini imekuwa ngumu kwangu msaada

Mkuu hautafika mbali katika career yako kwanza hizo 950k ni hela ndogo Sana sema upo mind broken lakini ukitaka kuwa na Mafanikio kuwa postive endelea kumuomba Mungu huyo Jamaa yako aongezewe mshahara mara dufu na muombee Amani Sana .

Na wewe ukifika wakati wako utaishi vizuri Sana .na utaogelea hela
 
hili jibu zuri sana
Sure Bishoo, ujue tatizo ni kwamba hawa wasomi wengi wanaamini kuajiriwa katika taasisi kubwa kubwa ndio njia pekee ya kufanikiwa. Yani hata awe anaingiza m2.5 huku chaka bado anajiona hajafanikiwa.

Kuna mtoto wa Manza Bay mmoja kaacha kazi huku chaka ambayo alikua na uhakika wa kuingiza m1.6 per month na kwenda kufuata 750k per month na makato juu ya loan board,so ataambulia kama 550-600k per month huko serekalini.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
I can feel your pain brethren , Kuna mwamba alikua mtu wa IT kwa kampuni ya wahindi alikua ana run department nzima alikua mtu mtu wa tatu tu kutoka kwa top boss ila akaja kujua yeye na ofisin admin TU ndio mshahara Yao haijazid million yaani Yale mapimbi yote mule ndani anayoyafundisha Kaz na kuyasimamia yamemzidi kwa umbali mnene sana alitema bungo sikuhiohio
 
Mtoa Mada nimekuelewa.

Pole sana, achana na hawa wanafki.

Cha kufanya kama ni Kazi ya Mkataba kuwa mvumilivu na ujitahidi sana kupiga kazi kwa nguvu zote.

Ikifika wakat wa kufanya Renewal of Contract ndio uweke mapendekezo ya kuongezewa mshahara tena kwa maandishi na kuelezea umefanya ACHIEVEMENT zipi hasa.

Hiyo ndio professional way.
Wanafki wengi humu.
 
Habarini wanajamii,niende moja kwa moja kwenye changamoto yangu.Nimeajiriwa kwenye taasisi moja hapa jijini dar,sasa katika ajira yangu kitengo nilichopo tulikuwa wawili mimi na huyo niliyemkuta yeye mwenzangu alikuwa kanitangulia kama miaka miwili pale kazini japo tulikuwa level moja ila kiwango cha mshahara alikuwa ananizidi kwa gap kama 800k kabla ya makato.
Baada kama ya mwaka mmoja jamaa aliondoka baada ya kupata kazi nyingine so pale nikabaki mwenyewe na baada kama ya miezi miwili akaletwa mtumishi mwingine,changamoto inakuja yeye analipwa salary kubwa kuliko mimi na ni gap kama la 950k hivi ila mara nyingi kazi mimi Ndio namwelekeza na mara nyingi pia huwa naulizwa. Mimi moyo yea kufanya kazi haupo kabisa naona kazi ngumu Halafu mwenzangu analipwa vizuri.
Hebu wakuu mnisaidie katika hali hiyo nifanye nn?
Swala la mshahara ni swala la kimkataba (makubaliano)

Jilaumu wewe kwa kukubali mshahara kiduchu na mpongeze mwenzako kwa kufanya negotiation nzuri na boss

Halafu acha roho mbaya
 
Usijali mkuu, ukiona uko sehemu hawaithamini value yako wala hata usiwasanue. We anza kutafuta chaka jingine kimyakimya.

Mimi iliwahi nitokea kipindi flani nikifanya kazi sehemu. Offcourse nilibargain mshahara kizembe na sababu kubwa ilikuwa ni njaa kali iliyokuwa ikinikabili kitaa. Baada ya miaka minne kazini ikatokea mdau mmoja karesign kwenye position ambayo ni ya juu kidogo. Nakumbuka kiongozi wangu aliulizwa na director whether wanipromote au waajiri mtu mwingine akasema waajiri mtu kwa sababu mimi bado sitoshi kwenye hiyo nafasi meanwhile mimi ndie niliyekuwa natekeleza majukumu yote yake na ya kumtumia report ambazo alikuwa anaenda kupatia ujiko kwenye management. Huyo mwamba alivyoresign ni mimi pia nilipewa majukumu yake na nilikuwa nafanya kazi kama punda vile.

Basi bwana ikafanyika interview jamaa akamkingia kifua nadhani manzi yake kipindi akiwa chuoni akapata hiyo nafasi. Kiroho safi kafika nkaambiwa nimfundishe kazi. Haloo manzi alikuwa mweupe kupita maelezo kiasi kwamba kiongozi wangu akawa ananipa majukumu yake. Yaani akawa kama bosheni tu ofisini.

Mungu sio Athumani nikapataga chaka moja nafasi kama ya kiongozi wangu tena kwa mshahara wa zaidi ya mara 3 ya mshahara wa kiongozi wangu. Nikaandika barua ya kuresign mwezi mmoja kabla. Saa ngapi nisiitwe na director ati kiongozi kamwambia aniite tuje tudiscuss kuboreshewa maslahi yangu ili nisiende kwenye ajira mpya. Asee niliwagomea katakata, yaani sikutaka kusikia la mtu.

Ni miaka mitatu imepita sasa, yule manzi alishatimuliwa kwa kuunderperform na kiongozi wangu kashaletewa bosi wake maana utendaji ulilegalega kwenye nafasi yake.

Kupitia kisa changu nakushauri usikate tamaa na ongeza juhudi kwenye kazi yako, ila usiache kutafuta chaka jipya. Na ukilipata usiende kinyonge kabisa kwenye kubargain maslahi. Mungu ni mwema utatoboa maana uwezo huwa hauongopi. Kila lakheri mkuu.

Angalizo:
Usijihusishe na kitendo chochote cha fitna kutokana na uchungu ulionao hivyo hufanya wivu usio na faida.
 
Unaonekana kabisa hutaki kufanya kazi.
Unakaa unawaza mwenzako analipwa Tsh ngapi?
Hayo ndo yalikua makubaliano yenu kwenye mkataba wa kazi?
Kuwa utakua unafanya kazi na kuchunguza maslahi ya wenzako?

Sasa hata hiyo kazi utaipoteza Maana wewe ni Mjinga sana afu una Roho ya kishamba.
Tatizo la watu wa mikoani mmejawa husda na ushirikina vichwani.
Basi mroge.
 
Usijali mkuu, ukiona uko sehemu hawaithamini value yako wala hata usiwasanue. We anza kutafuta chaka jingine kimyakimya.

Mimi iliwahi nitokea kipindi flani nikifanya kazi sehemu. Offcourse nilibargain mshahara kizembe na sababu kubwa ilikuwa ni njaa kali iliyokuwa ikinikabili kitaa. Baada ya miaka minne kazini ikatokea mdau mmoja karesign kwenye position ambayo ni ya juu kidogo. Nakumbuka kiongozi wangu aliulizwa na director whether wanipromote au waajiri mtu mwingine akasema waajiri mtu kwa sababu mimi bado sitoshi kwenye hiyo nafasi meanwhile mimi ndie niliyekuwa natekeleza majukumu yote yake na ya kumtumia report ambazo alikuwa anaenda kupatia ujiko kwenye management. Huyo mwamba alivyoresign ni mimi pia nilipewa majukumu yake na nilikuwa nafanya kazi kama punda vile.

Basi bwana ikafanyika interview jamaa akamkingia kifua nadhani manzi yake kipindi akiwa chuoni akapata hiyo nafasi. Kiroho safi kafika nkaambiwa nimfundishe kazi. Haloo manzi alikuwa mweupe kupita maelezo kiasi kwamba kiongozi wangu akawa ananipa majukumu yake. Yaani akawa kama bosheni tu ofisini.

Mungu sio Athumani nikapataga chaka moja nafasi kama ya kiongozi wangu tena kwa mshahara wa zaidi ya mara 3 ya mshahara wa kiongozi wangu. Nikaandika barua ya kuresign mwezi mmoja kabla. Saa ngapi nisiitwe na director ati kiongozi kamwambia aniite tuje tudiscuss kuboreshewa maslahi yangu ili nisiende kwenye ajira mpya. Asee niliwagomea katakata, yaani sikutaka kusikia la mtu.

Ni miaka mitatu imepita sasa, yule manzi alishatimuliwa kwa kuunderperform na kiongozi wangu kashaletewa bosi wake maana utendaji ulilegalega kwenye nafasi yake.

Kupitia kisa changu nakushauri usikate tamaa na ongeza juhudi kwenye kazi yako, ila usiache kutafuta chaka jipya. Na ukilipata usiende kinyonge kabisa kwenye kubargain maslahi. Mungu ni mwema utatoboa maana uwezo huwa hauongopi. Kila lakheri mkuu.

Angalizo:
Usijihusishe na kitendo chochote cha fitna kutokana na uchungu ulionao hivyo hufanya wivu usio na faida.
Umeongea vzr.

Mie nilikuwa napiga kazi kama INTERN somewhere. Wakawa wanajivutavuta kunipa contract. Muda huo nachomoa kazi kabisa za kupata chochote kitu ila kwa kuwa nina loyalty na Taasisi bas nafanya tu kwa UJIRA mdogo wa nauli tu.

Nikachoka nikajiexpose na Taasisi zinazoelewa nini maana ya PROFESSIONALISM nikala shavu.

Mpaka leo wanalia lia tu ooh rudi sijui kuna hiki na kile mie nimeshawabwaga wajifunze.
 
Mkuu hautafika mbali katika career yako kwanza hizo 950k ni hela ndogo Sana sema upo mind broken lakini ukitaka kuwa na Mafanikio kuwa postive endelea kumuomba Mungu huyo Jamaa yako aongezewe mshahara mara dufu na muombee Amani Sana .

Na wewe ukifika wakati wako utaishi vizuri Sana .na utaogelea hela

Hiyo ni gap ya mshahara ndio 950k
 
Nikupeeleke kwenye Biblia.
Yesu alisemaje kuhusu malipo tofauti?
Wewe uliomba mshahara( x)ukapewa.
Mwenzio akaomba (x+950) na akapewa. Shida iko wapi?
 
Mimi sina roho mbaya ila kazi na mshahara wa chini yangu gap ni kubwa
Unapangwa ili uache kazi kwa hasira. Inaonekana kukufukuza wanaona aibu au hakuna sababu yenye mashiko kukufukuza. Kwani mshahara wako ulipo-bargain ulikuwa na mfanyakazi mwenzako au mwenyewe?
 
Mtoa Mada nimekuelewa.

Pole sana, achana na hawa wanafki.

Cha kufanya kama ni Kazi ya Mkataba kuwa mvumilivu na ujitahidi sana kupiga kazi kwa nguvu zote.

Ikifika wakat wa kufanya Renewal of Contract ndio uweke mapendekezo ya kuongezewa mshahara tena kwa maandishi na kuelezea umefanya ACHIEVEMENT zipi hasa.

Hiyo ndio professional way.
Wanafki wengi humu.
Akaombe ushauri kwa Djuma Shabaani na Yanick Litombo Bangala watamwambia kama kiberiti huwa kinatingishwa?
 
Habarini wanajamii,niende moja kwa moja kwenye changamoto yangu.Nimeajiriwa kwenye taasisi moja hapa jijini dar,sasa katika ajira yangu kitengo nilichopo tulikuwa wawili mimi na huyo niliyemkuta yeye mwenzangu alikuwa kanitangulia kama miaka miwili pale kazini japo tulikuwa level moja ila kiwango cha mshahara alikuwa ananizidi kwa gap kama 800k kabla ya makato.
Baada kama ya mwaka mmoja jamaa aliondoka baada ya kupata kazi nyingine so pale nikabaki mwenyewe na baada kama ya miezi miwili akaletwa mtumishi mwingine,changamoto inakuja yeye analipwa salary kubwa kuliko mimi na ni gap kama la 950k hivi ila mara nyingi kazi mimi Ndio namwelekeza na mara nyingi pia huwa naulizwa. Mimi moyo yea kufanya kazi haupo kabisa naona kazi ngumu Halafu mwenzangu analipwa vizuri.
Hebu wakuu mnisaidie katika hali hiyo nifanye nn?
Omba kuongezewa mshahara wakikukatalia tafuta kazi kwa Siri maeneo mengine ukipata.

HUKU unawasilisha barua ya kuacha kazi kutokana na maslahi madogo.

Kumbuka ACHA kazi baada ya KUPATA kazi,

Usiache kazi kabla hujapata kazi utajuta kuzaliwa
 
Acha kazi uone ulivyo kazi kupata kazi. Siku zote taasisi zote duniani malipo Huwa hayafanani. Kama unataka kufananisha mishahala wafanyakazi fungua kampuni Yako. Vinginevyo hutoridhishwa
 
Una low level ya negotiation techniques, lakini una ability kubwa kwa sababu huyo boss wako hajaona uwezo wako tafuta kazi sehemu nyingine waone uwezo wako, ni ngumu sana kulipwa mshahara zaidi ya ule mlikubaliana. Yaani mimi nilipata hiyo kesi, nilionea mtu huruma nikamuanzishia mradi kwa mshahara wa 450 mradi ulipoanza kuingiza mabilioni akaleta watu wa juu na kuanza kuwalipa hadi 1500,kuanzia hapo sikuajiriwa tena, alafu usiote yawe yale makabila yanayokula ndizi na vile vijamaa vya kwenye baridi vinavyomiliki maduka kariakoo. Kama upo serious utachomoka hapo kwa msaada zaid nichek. Ukilalamika unajizibia fursa mpya nyingi sana.
 
Ukiwa mezani acha kuchunguli sahani ya mwenzio, una roho mbaya sana we mzee.
 
Kwanza ulijuaje anakuzid kama sio uongo
Na si kila mtu alibargain kwenye interviw labda wewe ulitaja ndogo sana mwenzako alitulia kujibu swal
Fanya kaz mwishowe utaishia kwa waganga
 
Back
Top Bottom