Kazini imekuwa ngumu kwangu msaada

Kazini imekuwa ngumu kwangu msaada

Umejuaje mishahara ya wenzako? Walikwambia au wew ni mhasibu unaandaa payrall?
 
Je ukigundua mwenye kampuni ni ndugu yake bado itakuuma?
 
Habarini wanajamii,niende moja kwa moja kwenye changamoto yangu.Nimeajiriwa kwenye taasisi moja hapa jijini dar,sasa katika ajira yangu kitengo nilichopo tulikuwa wawili mimi na huyo niliyemkuta yeye mwenzangu alikuwa kanitangulia kama miaka miwili pale kazini japo tulikuwa level moja ila kiwango cha mshahara alikuwa ananizidi kwa gap kama 800k kabla ya makato.

Baada kama ya mwaka mmoja jamaa aliondoka baada ya kupata kazi nyingine so pale nikabaki mwenyewe na baada kama ya miezi miwili akaletwa mtumishi mwingine, changamoto inakuja yeye analipwa salary kubwa kuliko mimi na ni gap kama la 950k hivi ila mara nyingi kazi mimi Ndio namwelekeza na mara nyingi pia huwa naulizwa.

Mimi moyo yea kufanya kazi haupo kabisa naona kazi ngumu Halafu mwenzangu analipwa vizuri.
Hebu wakuu mnisaidie katika hali hiyo nifanye nn?
Yale yale ya Fei Toto na Aziz Kii!! Ridhika na unachokipata mjomba. Na kama unaona mambo hayaendi kama vile unavyopenda, tafuta mahali pengine ambako utalipwa mshahara unaoutaka wewe.

Kila mtu aliingia mkataba kivyake. Hivyo hutakiwi kumuonea gere mfanyakazi mwenzako.
 
I can feel ur pain bro umesema wa kwanza alikuzidi 800k ukavunga ukaona yote kheri akaja wa pili nae kakupiga gap na 950k almost 1m dooh! Afu kazi wew ndo wa kutegemewa yan kama mzamiru vile af saidoo anakunja parefu oya ww sio nyani nenda kamwambie hvyo Hr

Imagine
 
Habarini wanajamii,niende moja kwa moja kwenye changamoto yangu.Nimeajiriwa kwenye taasisi moja hapa jijini dar,sasa katika ajira yangu kitengo nilichopo tulikuwa wawili mimi na huyo niliyemkuta yeye mwenzangu alikuwa kanitangulia kama miaka miwili pale kazini japo tulikuwa level moja ila kiwango cha mshahara alikuwa ananizidi kwa gap kama 800k kabla ya makato.

Baada kama ya mwaka mmoja jamaa aliondoka baada ya kupata kazi nyingine so pale nikabaki mwenyewe na baada kama ya miezi miwili akaletwa mtumishi mwingine, changamoto inakuja yeye analipwa salary kubwa kuliko mimi na ni gap kama la 950k hivi ila mara nyingi kazi mimi Ndio namwelekeza na mara nyingi pia huwa naulizwa.

Mimi moyo yea kufanya kazi haupo kabisa naona kazi ngumu Halafu mwenzangu analipwa vizuri.
Hebu wakuu mnisaidie katika hali hiyo nifanye nn?
Unaijua ile ngoma ya diamond na Tanasha inaitwa "Wanaona gere"😅
Broo kwani hujui kweny taasisi private mishahara haina scale, inategemea na CV ya mtu na ww mwenyew ulivojitunisha ulipopewa nafasi.
Shida yake ww nahic ni wivu, huyo mwenzako asingekuwa na mshahara mkubwa kuzidi ww nahic usingekuwa na shida.
Usiwe na hio roho broo.
 
Mimi nilijua mshahara wako umepunguzwa amepewa mwenzio!!
Acha lazi mwamba wasikutishe,njoo Namanyere huku tulime!!
 
Haya matatizo yanaletwa na watu wanao husika na mshahara kutokuwa wa siri! Mshahara wa mtu ni siri ya mtu aya mambo ndo yataleta uchawi apo
Hapo lazima aende kwenye kisomo kwa yule Ustadhi wa Mbezi Mwisho
 
Unadhani ukiongezewa ukawa unalipwa kama jamaa ndo utatoboa?
 
Chamsingi ni ww kupanga bajeti zako ,Kila mtu anatamani vitu vikubwa lkn hata ww hayo ndo Majaliwa Yako.

Usitake kujua mishahara ya wenzio maana yatakuvunja moyo na kukupa roho ya chuki .

Ww piga kaz ukiona hakuna maslahi tafuta chimbo jingine
 
Habarini wanajamii,niende moja kwa moja kwenye changamoto yangu.Nimeajiriwa kwenye taasisi moja hapa jijini dar,sasa katika ajira yangu kitengo nilichopo tulikuwa wawili mimi na huyo niliyemkuta yeye mwenzangu alikuwa kanitangulia kama miaka miwili pale kazini japo tulikuwa level moja ila kiwango cha mshahara alikuwa ananizidi kwa gap kama 800k kabla ya makato.

Baada kama ya mwaka mmoja jamaa aliondoka baada ya kupata kazi nyingine so pale nikabaki mwenyewe na baada kama ya miezi miwili akaletwa mtumishi mwingine, changamoto inakuja yeye analipwa salary kubwa kuliko mimi na ni gap kama la 950k hivi ila mara nyingi kazi mimi Ndio namwelekeza na mara nyingi pia huwa naulizwa.

Mimi moyo yea kufanya kazi haupo kabisa naona kazi ngumu Halafu mwenzangu analipwa vizuri.
Hebu wakuu mnisaidie katika hali hiyo nifanye nn?
Kama unalipwa kile mlichopatana na kukubaliana na waajiri wako basi tulia tu wacha uchawi wa kumchawia mwenzako.

Kumbuka anacholipwa huyo mwenzako ni vile amepatana na waajiri wake.

Kila mtu anapewa sawa na kile ambacho alipatana na mwajiri.

Kama huna raha hapo kazini dawa ni kuacha ukatafute kazi mahali pengine
 
Back
Top Bottom