Lukaku marata
JF-Expert Member
- Dec 4, 2019
- 448
- 752
Mshahara wa mtu mwingine haukuhusu, akili kama za Feitoto yani.Habarini wanajamii,niende moja kwa moja kwenye changamoto yangu.Nimeajiriwa kwenye taasisi moja hapa jijini dar,sasa katika ajira yangu kitengo nilichopo tulikuwa wawili mimi na huyo niliyemkuta yeye mwenzangu alikuwa kanitangulia kama miaka miwili pale kazini japo tulikuwa level moja ila kiwango cha mshahara alikuwa ananizidi kwa gap kama 800k kabla ya makato.
Baada kama ya mwaka mmoja jamaa aliondoka baada ya kupata kazi nyingine so pale nikabaki mwenyewe na baada kama ya miezi miwili akaletwa mtumishi mwingine,changamoto inakuja yeye analipwa salary kubwa kuliko mimi na ni gap kama la 950k hivi ila mara nyingi kazi mimi Ndio namwelekeza na mara nyingi pia huwa naulizwa. Mimi moyo yea kufanya kazi haupo kabisa naona kazi ngumu Halafu mwenzangu analipwa vizuri.
Hebu wakuu mnisaidie katika hali hiyo nifanye nn?
Alete kwanza CV yake na CV ya huyo anayemlalamikia.Umepeleka Ma ombi ya Kuomba nyongeza ya Mshahara?
Au umeanza kuja hapa?
Nenda Na ukifika achana na masuala ya mwenzako, Jizungumzie wewe.
Inaitwa roho ya kwanini.kinacho kutesa sio kazi ila ni roho mbaya
Huwezi Dai nyongeza eti kisa Mwenzako anapewa zaidi, Njaa hiziii, Ukute yeye alijitia tanzi kwenye mkataba, Wenzake wakasimamia Juu.Alete kwanza CV yake na CV ya huyo anayemlalamikia.
Kuna wajinga bado hawajui mtu anaweza kukuzidi madaraka na wewe ukamzidi mshahara.
Mwalimu mkuu wa shule anaweza kuzidiwa mshahara na Mwalimu wa kuwaida ambaye hana Madaraka.
mmh! Sio rahisi ivo ,una saw mill yako? Una nunua miti mwenyew?Njoo Mufindi tuchane mbao Kaka,achana na masuala ya kuajiriwa ajiriwa.
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Hizi kazi za Makampuni sijui Taasisi Mishahara huwa haina Scale ni Mdomo wako tu..Taasisi inawexa Ikawa Imeoanga kwa Level yako kukulipa 2mil sasa wewe ulipoulizwa tukulipe sh ngapi ukakomea laki kadhaa wenzako wakasema mil 3 wakapunguzwa mpk mil2 kwahiyo usishangaeHabarini wanajamii,niende moja kwa moja kwenye changamoto yangu.Nimeajiriwa kwenye taasisi moja hapa jijini dar,sasa katika ajira yangu kitengo nilichopo tulikuwa wawili mimi na huyo niliyemkuta yeye mwenzangu alikuwa kanitangulia kama miaka miwili pale kazini japo tulikuwa level moja ila kiwango cha mshahara alikuwa ananizidi kwa gap kama 800k kabla ya makato.