kazi

kazi

prince1

Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
5
Reaction score
0
jamani napenda sana kuwa kazi ya usalama wa taifa.lakini sijui nifanyaje?
 
Sijawahi sikia wana apply hizo kazi.
Kama uko na ndugu pale ongea nae watakufata
 
Daaaa!!! na kama hauna ndugu pale sini ngum sana kupata!
 
unafahamu kazi zao? wala usiwaze dogo, ni kazi ya kipumbavu na kishetani sana, achana na stori za vijiweni!.
 
oky! kwa hiyo pale magogoni uyo jamaa anajulikana sana?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom